MTU ALIYE NYIKANI
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 345
- 463
Jamani naomba msaada kwa anayefahamu,
Niko Dar natumia Digital TV ya Samsung yenye decocorder ya continental ndani(fully built), kwa hiyo inaniwezesha kuangalia chanel zote za king'amuzi cha continental bure kabisa kwa kuunganisha na antenna tu bila haja ya dish wala kingamuzi cha nje.
Swali, Je inawezekana nikaitumia TV hii hadi mikoan kwa kutumia antenna tu bila ya dish, kwa mfano mkoani RUVUMA.
MSAADA KWA ANAYEFAHAMU TAFADHALI