For mimi binafsi sio mpenzi sana wa hiyo kitu, mie huwa naendaga na basic tu AVG inaniambia kama nimevamiwa, najibu mashambulizi na Malwarebytes, mchezo umekwisha. Na ninazo kwenye mashine zangu zote, zinapiga mzigo kama kawa....haiharibu kitu kama ukiitesti na kuona kama inapiga mzigo unavyotaka, kama haifanyi kazi, si unaipiga chini tu unatafuta fleva nyingine.