Ant-thieves bag

Ant-thieves bag

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,143
Reaction score
2,547
3acac20f4ab6b3db9d48c73504f14f49.jpg
 
Sijaelewa

Labda nkusaidie kidogo

Hizo bags ukitia kitu mtu haweziba

Umeona iyo sandwich iyo ziplock imetengenezwa kama ina ukungu so ukiweka sandwich yako mtu atafkir ni sandwich imeharibika na kufanya ukungu

Hope umepata highlights
 
Asante sana Mrembo kwa kumfafanulia.
 
Back
Top Bottom