Ant-Man and the Wasp: Quantumania....

Tuwaite na wazee wa kula matunda kiutani utani waje wachangie hapa sio kujaza katarasi tu na kutuharibia mazingiraa
 
Tuiite through the wormhole with dosho12
 
SAfi mkuu, unajua unachokiongea....lakini directors wa wenzetu wako vzuri sana yani ni muvi lakini kuna uhalisia flani na maisha yetu....hapa huwa wanatisha sanaa
Wenzetu wanafanya research kwanza kabla ya kutoa movie zao, mtu unaenjoy story na unapata elimu kidogo, na wanafanya mtu unaanza kuipenda sayansi
 
Kiswahili Language na France
Ahahahaha huku kimbia aiseee huwezi toboa
😁😁
moshathedoniaa usijali mkuu kama upo interest na hzo mada unaweza kuanza kufutilia na kusoma kidogo kidogo, sio lazima usome topic nzima unaweza kuangalia video zilizopo youtube , anza na fupi kwanza au tiktok kama.unatumia kuwa unaangalia clip za sayansi, itachukua muda ila kama unapenda utajua mdogo mdogo, we komaa na theory tu sio lazima ujue na equation zake. Ukiandika "Startalk neil degrasse tyson" utaona video za kuelezea mambo ya astrophysics
 
Nini kina-determine kusimama kwa muda katika hiyo nadhari? Je, Kila kitu hubaki katika nafasi ileile pasipo kusogea hata kidogo au shughuli zinakuwa zinaendelea kama kawaida?
 
Katika nadharia hiyo wanasemaje uwepo wa viumbe hai kama mimea, wanyama na binadamu? Je, watu hutokea Ulimwenguni kwanza katika Tukio la Kifo Chao na wakiishi wakirudi nyuma mpaka mpaka utungo wa mimba zao?
 
Nini kina-determine kusimama kwa muda katika hiyo nadhari? Je, Kila kitu hubaki katika nafasi ileile pasipo kusogea hata kidogo au shughuli zinakuwa zinaendelea kama kawaida?
zinaendelea kama kawaida ila labda hakuna kuzama na kuchomoza kwa jua maana kama ni usiku ni usiku tuu au mchana ni mchana tu maisha yote, kwa mtazamo wangu
 
Vema!
Ikiwa hivyo nafikiri ingetumika Lugha ya Kusimama kwa Jua. Maana kama ni shughuli zinaendelea bado kutakuwa na recording ya muda, kwamba Tukio A lilianza dakika 5 nyuma, Kisha likafuata jingine.
 
Marvel wanasema quantum realm ni eneo ambalo space and time works different au ziko irrelevant ,ni eneo ambalo kuingia mpaka uwe mdogo sana at sub atomic particles even microscopic level ndo utaingia ktk quantam realm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…