Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,495
- 55,094
Nani alikuteka jamaaaUpuuzi mtupu cc BICHWA KOMWE - mbamizwa katumeni,,
Weee jamaa nilikua nakuchukulia poa poa tuu kumbe una hatareee...βQuantum mechanics inaelezea vitu vidogo zaidi kwenye ulimwengu wetu ambavyo haviwezi kuonekana kwa macho kama molecules, atoms, sub atomic particles (electron, proton, neutron) , Kutokana na idea ya movie ni kuwa kwenye double slit method ambayo walirusha electron kwenye ukuta ambapo wanasayansi walitegemea kuona matokeo ya electron ziwe kama particles ila cha kushangaza zikaonekana zimetengeneza alama kama vile zipo mfumo wa waves, ina maana electron kwenye dunia yetu zinakuwa mfumo wa particles walijaribu kuzi monitor zinaonekana kama particles ila usipo zi monitor zinakuwa kama waves hivyo kwenye dunia yake (quantum world) zinakuwa mfumo wa waves , wanasayansi hawajui ni kwa nini ziwe kwenye mfumo wa waves hivyo wakaja interpretation zao kama vile Copenhagen, pilot wave, na nyingine nyingi ila kuna moja ambayo ndio inasifika sana inaitwa Many world interpretation, kwamba kuna dunia nyingi na ulimwengu mwingi ambao unaweza kuwa kama ulimwengu wetu pia sio lazima uwe mkubwa unaweza kuwa mdogo na kuwa kwenye ulimwengu wa quantum world.
βHivyo kwenye movie ant man na familia yake wanatengeneza machine ambayo inaweza kumfanya mtu na vitu vikawa vidogo zaidi kama subatomic particles na huko wanaenda kwenye ulimwengu wa quantum realm, wanakutana na viumbe wanaoishi humo,
β
βIla movie imefocus sana kwenye stori na sio sayansi sana sababu kwenye ulimwengu wa quantum realm laws za physics zipo tofauti sana na ulimwengu wetu, vitu kama muda, gravity vipo tofauti kabisa pia kuna vitu vyengine vya ajabu kama superposition ambapo vitu vinaweza kuwa sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja
βMi nimejaribu kuelezea quantum mechanics ninavyoelewa pia kutokana na movie ilivyo, ila kwa ujumla quantum mechanics haieleweki kabisa. Subiri ufafanuzi kwa wanaojua zaidi, Vitu kama Quantum tunneling, String theory, Quantum entanglement, Wave function, Heisenberg uncertnity, Energy Quantization, Superposition
Hii inaweza kuwa sahihi sababu hta aliyepo huko hawezi kujua kama yupo kwenye quantum realm yeye atahisi yupo kwenye dunia ya kawaida na laws za universe za kule kwake zitakuwa za kawaida tuHuwenda hata sisi tukawa tupo kwenye quantum worlds...?
sidhani kama tuna weza kuleta madhara kwenye ulimwengu wa quantum sababu ni ndogo mno hata ukirusha mkono huwezi iathiri, hyo sijawahi kuifatulia, na kwenye kuingia kama unaweza ukawa mdogo mno unaweza kwenda ila odds zake itakuwa 0.00000...π,Je hiyo quantum worlds haiwezi kuwa affected na matendo yetu.
Mfano ukawa mdogo mpaka kuweza kuingia kwenye kikombe...
Haitakuwa na madhara sababu laws za kwenye quantum world zipo tofauti hivyo kama kuna viumbe huko sidhani kama na wao wanahitaji sana oxygen, huenda kuna hewa nyingine kabisa, na ulimwengu ni mdogo zaidi huenda upo ndani ya molecules za hydrogen na oxygen hivyo maji hayana athari kwao sababu wanaishi ndani ya molecules hzoHiko kikombe kikajazwa maji what happen......
Mmmh mmmh mmmh aiseee hatareee sana hapo umenijibu safi kabisa ulipokuja kusema kuwa either wapo ndani ya molecules hapo umeuwa aiseee daaah...Hii inaweza kuwa sahihi sababu hta aliyepo huko hawezi kujua kama yupo kwenye quantum realm yeye atahisi yupo kwenye dunia ya kawaida na laws za universe za kule kwake zitakuwa za kawaida tu
sidhani kama tuna weza kuleta madhara kwenye ulimwengu wa quantum sababu ni ndogo mno hata ukirusha mkono huwezi iathiri, hyo sijawahi kuifatulia, na kwenye kuingia kama unaweza ukawa mdogo mno unaweza kwenda ila odds zake itakuwa 0.00000...π,
Haitakuwa na madhara sababu laws za kwenye quantum world zipo tofauti hivyo kama kuna viumbe huko sidhani kama na wao wanahitaji sana oxygen, huenda kuna hewa nyingine kabisa, na ulimwengu ni mdogo zaidi huenda upo ndani ya molecules za hydrogen na oxygen hivyo maji hayana athari kwao sababu wanaishi ndani ya molecules hzo
kwa upande wa vitu vikubwa kama nyota, sayari, black holes inaitwa Astro physics au CosmologyNa hapo tumezungumzia small scale vipi kwa upande wa large scale upoje mkuu au hiyo elimu yenyewe inaitwaje an
Duuuh oky oky...kwa upande wa vitu vikubwa kama nyota, sayari, black holes inaitwa Astro physics au Cosmology
wanaangalia nyota, dust na gas zilivyokaa pia ku track movement zake ndio wakaja na hyo conclusionDuuuh oky oky...
Sema haya mambo nahisi yamekaa theoretical sana mkuu...
Nawaza hata ile picha ya galaxy hivi ni vyombo gani viliweza kuleta picha kama ile au ndo mambo ya electromagnetic wave
πππππππππππππππππππ Mkuu we una hatareeeeHivyo kwenye Movie baada ya Cooper kwenda kwenye blackhole alitegemea kuingia kwenye Singularity na kutanuliwa mpaka kufa kutokana na Einstein ila Stephen Hawking yeye alisema ukingia kwenye black hole usiwe na wasi wasi sababu alihisi ndani ya singularity kuna wormholes au Einstein rosen bridge inayounganisha ulimwengu kwenda ulimwengu mwingine pia kuna uwezekana black holes zikawa na information ya ulimwengu mzima, hivyo baada ya cooper kwenda ndani ya black hole akakuta kweli kuwa blackholes zina information za ulimwengu mzima hivyo akatuma kwenda kwa mwanae ila information zipo mfumo wa 5D hivyo inakuwa ni challenge kutuma ila Gravity inaweza kwenda dimension yoyote bila shida na energy pia inaweza ku pass through dimension hivyo akatuma ujumbe huo. Tuchukile mfano Ile dark energy ambayo wanasayansi hawajui ni nini kuna wengine wanahisi huenda ni energy ya kawaida kutoka ulimwengu mwingine pengine hata huenda ni gravity na kwa kuwa energy na gravity vinaweza ku pita dimension, au Majini inajulikana ni viumbe wanaoishi kwenye ulimwengu mwingine mi nahisi itakuwa wapo kwenye 4th Dimension hivyo wanaweza kutoona kila kitu kilicho kwenye mwlili wetu mpaka moyo, maini ila hawawezi kuonekna sababu miili yao haisapoti dimension yetu hivyo wanachoweza ni kutumia energy ili kuwasiliana na sisi, hivyo kwenye movie inagundulika kuwa binadamu waliadvance zaidi na kutengeneza lile tesseract ambalo lipo kwenye 5th dimension na inasemekana Viumbe hao wanaweza ku access time na kwenda muda wanaotaka ila wanakuwa limit na Murphy's law "whatever happen will happen" kwamba hata ukijua utapata ajari ukienda mbele ya muda kuzuia ajali hiyo lazima itokee kwa sababu huenda kwenda kwako kujaribu kuzuia ndio kuna sababisha wewe kupata ajari hivyo ilikuwa ni lazima uende mbele kujaribu kuzuia ili ajari itokee. Hivyo cooper ilikuwa ni lazima yatokee yaliyomkuta kwenye ile.safari ili isababishe achukue maamuzi ya kwenda kwenye black hole atume zile coordinate za nasa ili asababishe waende kwenye safari
Duuuuh hatareee hiii Mkuu...Poor Brain Dimension mwanzo zilikuwa zikifahamika ni hzo zilizopo kwenye dunia yetu ambazo ni tatu juu/chini, mbele/nyuma, na kushoto/kulia , ila toka zamani wazo la dimension nyingi liliokuwepo toka kwa mwana falsafa wa kigiriki Atomist alihisi huenda kuna dimension na ulimwengu zaidi ya dunia hii pia Hugh Everett (mwana quantum physics aliyekuja na wazo la dunia nyingi pia ilisema huenda kukawa na dimension zaadi ya hapo kwamba kuna ulimwengu wana dimensio 4,5 na kutokana na String theory inasemekana zinaweza kufika mpaka 11 na hzo ni spatial dimension, Einstein akasema Time pia inaweza kusimama kama dimension hivyo kwa dunia yetu tunakuwa na dimension 3 za spatial na moja ya time, na kila dimension inakuwa na uwezo na limit yake mfano sisi tunaweza kwenda juu/chini kushoto/kulia mbele/nyuma ila dimension chini yetu haziwezi kufanya hivyo na limit yetu ni kuwa ukimchukua kiumbe wa 3D na kuweka ukuta mbele yake hawezi kuona kinachotokea ila viumbe wa 4D wao wanaweza kuona kupitia kwenye ukuta
Duuuuh ulimwengu wa ajabu sana aiseee na vipi kuhusu internal structure ya dunia hiyo elimu nayo inaitwaje mkuu...wanaangalia nyota, dust na gas zilivyokaa pia ku track movement zake ndio wakaja na hyo conclusion
Hii nahisi kwa kuwa kwenye singularity ndio laws za universe zinavunjika according to Einstein kwamba hata Time pia huwa unasimama pia nahisi kwa kuwa wanasema huenda kuna hzo wormholes ambazo ni unstable hazitabiriki kabisaNaomba nielekeze hii Singularity na inahusina vipi na uncertainty principle mkuu....