Hapo ni kamchezo kadogo tu ndo kanachezwa
chini ya kiatu kunakuwa na uwazi fulani ambao unaruhusu kachuma fulani kupita na kujishikiza kachuma hako kanakuwa kameshikizwa chini ya stage/ubao so ukiwa umevaa hivyo viatu unaenda hapo kwenye hivyo vichuma and then unaingiza ktk hiyo sehemu ya viatu kisha unafanya yako,Inawezekana mkuu ila mpka leo sijaelewa, hadi nkajaribu ila wapi. Mwishoe nimeamua kuwaachia wenyewe tu
Mbado[emoji24] [emoji25] [emoji24] [emoji25] [emoji24]
[emoji24] [emoji24] [emoji24] note 4 ogDuh! tcra na wakaamua kbs kuiacha hiyo touch yako dah! kuna watu mnabahati😱