Huyu mwanafunzi ana uelewa mkubwa wa mambo, ni kama yule mhasibu baada ya kuona wenziwe tisa washaanguka kwenye usaili, yeye alipoulizwa mbili na mbili ngapi , alinyanyuka akafunga milango na madirisha akauliza unataka niandike ngapi? ALIAJIRIWA INSTANTLY