Jerrymsigwa JF-Expert Member Jun 23, 2012 14,069 8,327 Dec 22, 2013 #22 Haiwezekeni bwana, nyie wote vilaza
M Mfa maji JF-Expert Member Nov 6, 2013 248 103 Dec 22, 2013 #23 Kweli hesabu ni janga la kitaifa. Yaani MAGAZIJUTO (mabano, gawanya, jumlisha, toa) hesabu ya darasa la tatu! Jibu 9 wajameni!
Kweli hesabu ni janga la kitaifa. Yaani MAGAZIJUTO (mabano, gawanya, jumlisha, toa) hesabu ya darasa la tatu! Jibu 9 wajameni!
M Mfa maji JF-Expert Member Nov 6, 2013 248 103 Dec 22, 2013 #24 Sipati picha ndio unamwelekeza mtoto homework!
Jaslaws JF-Expert Member May 31, 2011 6,016 5,284 Dec 22, 2013 #25 Mmh cjui hesabi ila sio kihivo..jibu lake ni 1
Jaslaws JF-Expert Member May 31, 2011 6,016 5,284 Dec 22, 2013 #26 Mi madhani ili kuondoa mabano,mbili inazidishwa mara zote zilizoko kwnye. Mabano,thn utagawa kwa sita..jibu ni moja..
Mi madhani ili kuondoa mabano,mbili inazidishwa mara zote zilizoko kwnye. Mabano,thn utagawa kwa sita..jibu ni moja..