zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Huyu mwandishi wa kurunzi hii ndani ya mawio ya leo kwa mbali amenipa kitu cha kufikirika kidogo alipokua akishusha nondo alizopewa na kigogo mmoja ambae kwa jina hajamtaja kwa sababu za kiusalama kuhusu swala zima la Richmond,kigogo huyo amemtaja mtu kwa jina la "BWana Mkubwa"
Wale wenye mawio ya leo tar 30 july 2015,ukurasa wa 16.
Jamaa amefunguka moja kwa moja.
Nisiseme mengi sana.
Najaribu kujiuliza:-
1. List of shame ilitangazwa 2007, Lowassa na Richmond ilikuwa 2008; kwa nini CDM wanaitumia hii eti ndiyo ilisababisha wamweke kwenye list?
2. Mwl Nyerere aliwahi kumkataa Lowassa na CDM wana ushahidi na wamewahi kuitamka hii kwenye mikutano yao, leo wanasemaje kwamba Lowassa ni msafi?
Anyway, hizi ndiyo siasa zetu.
Nimekubali sana swali la kwanza, ngoja Lowassa aende kwa fisadi mwenzake MBOWE.Najaribu kujiuliza:-
1. List of shame ilitangazwa 2007, Lowassa na Richmond ilikuwa 2008; kwa nini CDM wanaitumia hii eti ndiyo ilisababisha wamweke kwenye list?
2. Mwl Nyerere aliwahi kumkataa Lowassa na CDM wana ushahidi na wamewahi kuitamka hii kwenye mikutano yao, leo wanasemaje kwamba Lowassa ni msafi?
Anyway, hizi ndiyo siasa zetu.
Maswali tote mawili ni ya msingi sana. HAWA CHADEMA ni walaghai sana, Oktoba lazima tuwakomeshe.Hiyo namba 2...... sasa hivi wanai - defend kwa maguvu yao yote !
hopeless !
CHADEMA wanachekesha sana, wamemchkua Lowassa kwa sababu ni msafi au ili wamsafishe? Mbona ni kama wamemeza mfupa wa samaki umewakwama kooni.Hawa ni waandishi wa habari wanaouza taaluma na si watumishi wa umma. Leo, ndo amekuwa anaona haya. Mbona ni moja wa waandishi wanaojulikana kwa maandishi yao juu ya EDO.
Siasa itauwa nchi.
harafu na wewe kwa akili ndogo sana unaleta umbeya.
We mwenye akili kubwa kwanini umefungua kuujadili huu umbeya wa akili ndogoHawa ni waandishi wa habari wanaouza taaluma na si watumishi wa umma. Leo, ndo amekuwa anaona haya. Mbona ni moja wa waandishi wanaojulikana kwa maandishi yao juu ya EDO.
Siasa itauwa nchi.
harafu na wewe kwa akili ndogo sana unaleta umbeya.
Najaribu kujiuliza:-
1. List of shame ilitangazwa 2007, Lowassa na Richmond ilikuwa 2008; kwa nini CDM wanaitumia hii eti ndiyo ilisababisha wamweke kwenye list?
2. Mwl Nyerere aliwahi kumkataa Lowassa na CDM wana ushahidi na wamewahi kuitamka hii kwenye mikutano yao, leo wanasemaje kwamba Lowassa ni msafi?
Anyway, hizi ndiyo siasa zetu.
Najaribu kujiuliza:-
1. List of shame ilitangazwa 2007, Lowassa na Richmond ilikuwa 2008; kwa nini CDM wanaitumia hii eti ndiyo ilisababisha wamweke kwenye list?
2. Mwl Nyerere aliwahi kumkataa Lowassa na CDM wana ushahidi na wamewahi kuitamka hii kwenye mikutano yao, leo wanasemaje kwamba Lowassa ni msafi?
Anyway, hizi ndiyo siasa zetu.
Nadhani hapo ulimanisha 1995. na sio 2005Ufisadi unachukua muda kufahamika kwenye Jamii, inaweza kuchukua mwaka mmoja mpaka muongo moja (Miaka 10) au zaidi.
Ukisikia ufisadi mwaka huu jua Dili hiyo ya kifisadi ilichezwa miaka kazaa nyuma. Kwa mfano Ufisadi wa Escwro tumeusikia hivi karibuni ni zao la Dili iliyopigwa miaka mingi ilyopita.
Kwa utangulizi huo naomba kujibu maswali yako kam ifuatavyo
1. Chadema kama ilivyo kwa vyama vingine makini ina interegencia kali kufahamu siri nyingi hasa zinazohusiana na Ufisadi mapema kabla ya wananchi ewngine wakawaida kufahamu.
Wakati wanatoa List of Shame 2007 walikua tayari wanajua Ufisadi wa Richmond japo Ufisadi wenyewe Publicaly ulijulikana 2008.
2. Kuhusu Mwl Nyerere kumkataa Lowassa tayari Kingunge ameshalifafanua nitalielezea kifupi hapa.
2005 wakati wa mchakato wa kumpata mpeperusha bendera wa CCM, majina matano yaliletwa na CC kwa NEC ili yachaguliwe majina matatu, katika majina hayo matano jina la Lowassa halikuwemo wajumbe wa NEC walihoji sana kwaninin jina la Lowassa halikuwepo walihoji sana mpaka kutishia mchakato kutoendelea, ndipo Mwl Nyerere akashituka kua kumbe Lowassa ananguvu kiasi hicho. Ili kutuliza munkari wa wajumbe wa NEC ndipo Kingunge akaleta sababu za Lowassa kukatwa na CC, Nyerere akatumia hoja hizo za Kingunge kuwezesha mchakato uendelee.
Hivyo basi Kingunge na Nyerere walifanya hivyo tu kunusuru mchakato na kurinda Heshima ya Chama, na hatuwezi kuhukumu kua Nyerere alimkataa Lowassa. ilikua KISIASA zaidi.
Ukawa ni wanafiki mno.awali walinadi eti ccm ni fisadi.sasa wanaremba eti tatizo ni mfumo.ndio sababu sasa wanategea watakaotemwa na ccm kwenye ubunge ili wawapokee kujaza mapungufu yao.UKAWA hawana maono yeyote wala upendo kwa Tanzania zaidi ya madaraka.