Ansbert Ngurumo: Lowassa amegeuka mbilikimo wa kisiasa

Ansbert Ngurumo: Lowassa amegeuka mbilikimo wa kisiasa

Ukisoma bandiko la Ngurumo limejaa utetezi kujistify irrelevancy ya Lowasa kwa Chadema. Mbaya zaidi huyu kaka yangu ameungaunga hadi taarifa za mitandaoni zisizo na credibility yoyote.

Kwa ufupi Ngurumo amefanya kazi yake vyema sana, unajua kazi gani? Propaganda! Vile vile walivyotuaminisha ubaya wote juu ya Lowasa alafu wakaja kumpokea na kumpa kijiti cha kugombea nafasi nyeti kuliko zote ya Urais!

Hata anaposema Dr Slaa angechukua fomu kugombea vs Lowasa ni kichekesho kikuu! Kweli Ngurumo? Are you serious? Kwanza unajua Dr Slaa hakuutaka Urais kwa kiwango hicho cha mwenyewe kwenda kuchukua fomu, alafu kama nguvu hiyo ingekuwepo si mngeungana nae alipogomea utaratibu wa kumpokea na kumpa moja kwa moja tiketi ya kugombea Urais EL? Mbona mlipigwa ganzi wote?

Nani akiwemo Ngurumo aliyejaribu hata kutahadharisha? Nani hakuzungurusha mikono? Mnataka kujijengea kurasa mpya kwa tukio la 2015 baada ya kufikishwa hapa na nyie wenyewe mlioshindwa kukemeana? Hamtoibadili Chadema kama bado mnafikra za namna hii!

Sent using Jamii Forums mobile app
ACHA PROPAGANDA!!! Slaa alizidiwa na presha kutoka kwa mkewe, na CCM walipoona huo ufa wakapigilia msumari na kumpata samaki huyo mkubwa na mnono. Slaa alionesha udhaifu mkubwa wa kimantiki pale alipoamua kuishambulia CHADEMA kwa kusaidiwa na CCM. katika press conference iliyotangazwa moja kwa moja na channel 5 kwa ufadhili wa CCM, aliishambulia CHADEMA kwa kutumia nguvu zake zote, influence yake yote, na credibility yake yote. CHADEMA walimsikiliza wakamhurumia, watanzania walimsikiliza na wakampuuza, na ndio maana walimpa Lowasa kura zote hizo, tena kwa hesabu za NEC ya CCM. Hiki kilikuwa kipindi kigumu sana kwa Slaa. alitazamia shambulio lake lingeimaliza CHADEMA, lakini ikawa kinyume chake. Busara inaonesha kwamba Slaa kama alikuwa hakubaliani na maamuzi ya kumpokea Lowasa, angejiuzulu uongozi akabakia mwanachama. Heshima yake ingebaki. lakini wapi! Sasa huyo Lowasa karudi CCM, Slaa ataondoka kwenye serikali ya CCM?

Lowasa amekuja CHADEMA na ameiongezea support ya watanzania, na Lowasa huyooo amepotelea mbali lakini nyota ya CHADEMA bado inaendelea kung'aa licha ya WATABIRI WA CCM kwamba CHADEMA ITAKUFA. Nguvu ya CHADEMA ndiyo inamtia hofu Magufuli anaendelea kuiba kura kwenye chaguzi ndogo kwa kuhofia kuaibishwa na CHADEMA. Kuja kwa Lowasa kuliiongezea nguvu CHADEMA lakini kuondoka kwake ndio kumezidi kuiimarisha. Kinyume chake, CCM ilidhoofishwa na kuondoka kwa Lowasa, ikapata kura chache kuwahi kutokea katika chaguzi zetu, HIYO NI KWA HESABU ZA NEC YA CCM. Ukweli tuuache kwanza. CCM pia itadhoofishwa na kurudi kwa Lowasa, makundi yanaimarika na SIFA MBAYA KUMHUSU LOWASA ILIYOJENGWA NA WANA CCM sasa ni mzigo kwa CCM yenyewe. si umewasikia UVCCM? HAKUNA MSAFI CCM!!!! hiyo ndiyo ratili ya nyama Lowasa anawadai CCM!! Patamu hapo...
 
Mtauguza Majeraha mpaka kunakucha.
Kubalini maumivu.vidonda vingine mlivitengeneza wenyewe.
Hakuna uchambuzi wala uchokonozi.
Hilo kovu mnalo mpaka kiama.
Kuna maumivu mengine inabidi uyavumilie usipate ugonjwa Wa moyo.
 
Uchambuzi wa Ngurumo hata kama wa kufikirika kuna ukweli ndani yake hata kama ni 20%
Lowassa tulisema toka mwanzo
Ukawa/Chadema mlibugi step kukubali huyu Mzee
Huyu yupo kwa ajili ya maslahi yake na familia yake si Mzalendo
Kwa ufupi amekosa vyote hawezi kuwa Rais Hawezi kurudishiwa mali zote zilizopotea labda kiduchu

Alichokipata ni kuepuka misukosuko ya Usalama wa Taifa,Polisi
Nakumbuka maneno ya Mbowe kuwa Lowassa kuwa mgombea Urais wa CDM 2015 ilikua ni karata sahihi kabisa.Kwa maana sawa waliliona hilo la udhaifu wake katika kuchafuka kwake kwa Rushwa ambayo haikuweza kuthibitishwa Mahakamani but mere allegations na pia uenda angerudi CCM in years to come as he has done.Lakini katika kuleta changamoto ya Kampeni na pia idadi ya kura na hatimaye idadi kubwa ya Wabunge.Lowassa ndiye alikua karata sahihi kulingana na hitaji la muda yani Strength kwa Upinzani,Weakness kwa CCM,Opportunity kwa Upinzani na pia Threat kwa CCM kwa 2015

Mkuu Kindam tulipoteza fursa adhimu ya kuujengea heshima upinzani kwa kumpokea Lowassa ila sasa tunapaswa kurudi kwenye misingi yetu,bado wanamageuzi tuna strong allegations towards waliopo madarakani,muhimu no kubali tulikosea na tuanze upya
 
Nakumbuka maneno ya Mbowe kuwa Lowassa kuwa mgombea Urais wa CDM 2015 ilikua ni karata sahihi kabisa.Kwa maana sawa waliliona hilo la udhaifu wake katika kuchafuka kwake kwa Rushwa ambayo haikuweza kuthibitishwa Mahakamani but mere allegations na pia uenda angerudi CCM in years to come as he has done.Lakini katika kuleta changamoto ya Kampeni na pia idadi ya kura na hatimaye idadi kubwa ya Wabunge.Lowassa ndiye alikua karata sahihi kulingana na hitaji la muda yani Strength kwa Upinzani,Weakness kwa CCM,Opportunity kwa Upinzani na pia Threat kwa CCM kwa 2015

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kindam tulipoteza fursa adhimu ya kuujengea heshima upinzani kwa kumpokea Lowassa ila sasa tunapaswa kurudi kwenye misingi yetu,bado wanamageuzi tuna strong allegations towards waliopo madarakani,muhimu king kubali tulikosea na tuanze upya
 
Back
Top Bottom