Ansbert Ngurumo: Kikao cha siri ofisini kwa DCI kiliamua Mbowe na Wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne wanyimwe dhamana

Kikao cha siri ofisini kwa DCI Alhamisi kiliamua Mbowe na wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne 17:03:2018, wanyimwe dhamana, kupima joto. Leo Jumatatu katika kikao cha Mwanza, ukumbi wa BoT, kwa maagizo kutoka juu, azimio ni "kamata, funga, poteza, ua watu hawa" kabla ya 26:04:08



IKO CONSISTENT NA KINACHOJIRI ila ijulikane kuwa kila nafsi itaonja mauti hatuna mji wa kudumu hapa duniani uwe umeua au umeuliwa wooote njia yetu ni kwa Mungu kusubiri hukumu."Maandiko yanasema kwa maana sote tutadhihirishwa mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu kutoa hesabu ya mambo yooote tuliyoyafanya hapa duniani"
 
Mungu wangu,kikao cha BOT mwanza hakikuwa cha polisi kilikuwa cha wadau financial institutions. ...........
Kweli sasa nimeamini uwongo wako umekuponza
Hiii ni mara ya 2 kusikia kuhusu bot mwanza, niliwahi ona uzi humu ukisema pm nae akizungumzia hiki suala
 
familia yangu imefanya kikao cha siri na kuamua leo jioni tutakula wali maharage. halafu kesho tutanunua nyama. lkn Mungu yupo upande wangu nimepata taarifa.

hata haya yatapita.
 
Yaani posts nyingine humu zimefanana na vitendo vya 'panya road'
Hii post kama ina ukweli fulani vile. Mbowe na wajumbe kadhaa wa kamati Kuu wamefikishwa Mahakamani leo Jumanne. Well, let's wait and see, labda hiyo ni trailer sinema inakuja.
 
Back
Top Bottom