Ansbert Ngurumo asithubutu kuingia ubalozini Stockholm

unamjua bana. Ni muandishi mzawa mzalendo wa habari za kichunguzi ambaye aliwanyima nakuwanyima usingizi kwa kuandika ukweli kuwahusu kwa mustakabali na manufaa mapana ya taifa letu.

Ni kama tu Jamal Kashoggi wa Saudia bila kudra za mwenyezi Mungu hadi Finlend ikampa hifadh angeokotwa kokobeach. Angalia mlichomfanyia Azory
Mkuu humjui huyo mpuuzi hadi unamjibu?
 
Kuna kipindi nimewaza hivi akitaka kurenew pass inakuwaje
 
Mzuqa

Yasije yakamkuta kama ya Khashoggi akidhani Sweden atakuwa Salama.

Hata kama hawatamchinjachinja kama Saudi Arabia ilivyofanya kwa muandishi Jamal lazima juju watampiga tu.

Ila tuseme kaingia hapo ubalozini hadi wamzuge ansbert asubiri, deputy president huku hadi atume hit squad itachukua siku mbili hawawezi kuitumia dreamliner wanaotudai wataikomalia.

Itabidi akina henry kisanduku waombewe visa ya schengen faster wakatiwe tiketi emirates qatar ama ethiopia airlines iyo itachukua ka siku mbili tatu. Nawalivyo reckless na mambo yao watadakwa tu adisababa, dubei ama doha nakurudishwa bongo.

Awe vigilant tu ansbert
Wewe kwa porojo tu
 
Stockholm ndiyo wapi??? Aliyekwambia yupo Denmark ni nani??
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwandiko umenikosha
 
Mzuqa

Yasije yakamkuta kama ya Khashoggi akidhani Sweden atakuwa Salama.

Hata kama hawatamchinjachinja kama Saudi Arabia ilivyofanya kwa muandishi Jamal lazima juju watampiga tu.

Ila tuseme kaingia hapo ubalozini hadi wamzuge ansbert asubiri, deputy president huku hadi atume hit squad itachukua siku mbili hawawezi kuitumia dreamliner wanaotudai wataikomalia.

Itabidi akina henry kisanduku waombewe visa ya schengen faster wakatiwe tiketi emirates qatar ama ethiopia airlines iyo itachukua ka siku mbili tatu. Nawalivyo reckless na mambo yao watadakwa tu adisababa, dubei ama doha nakurudishwa bongo.

Awe vigilant tu ansbert

Kwa Uzi Kama huu Kuandika huwa mnalipwa Kwanza Au baadaye. Na zaidi limtokokalo Mtu Ndo ... Kwanini mnawaza maovu tu Kwa Watu ambao hamna chochote tangible walichofanya bali nao wachumia tumbo tu. Sishangai Mange anafollowers wengi kuliko watu wa maana just like wakinadada wahuni . Halafu huwa hampingani Hata siku moja
 
lakini ubalozi wa Tanzania nordic na ukraine hupo Taby Stockholm hata consulate tu haipo finlend
Acha ungese ww mambo hayo Sverige hakuna na atakayejaribu hatoki.
Kwenda juzi Köpenhamn kusikufanye ukajiona unajua sana. Pumba tu unaongea.
Huyo Ansbert ataenda pale atapokelewa kwa chai akimaliza shida zake watamrudisha pale akachukue boti arudi kwao Finland sio finlend.
Jifunze kwanza kuandika
 
Mzuqa

Yasije yakamkuta kama ya Khashoggi akidhani Sweden atakuwa Salama.

Hata kama hawatamchinjachinja kama Saudi Arabia ilivyofanya kwa muandishi Jamal lazima juju watampiga tu.

Ila tuseme kaingia hapo ubalozini hadi wamzuge ansbert asubiri, deputy president huku hadi atume hit squad itachukua siku mbili hawawezi kuitumia dreamliner wanaotudai wataikomalia.

Itabidi akina henry kisanduku waombewe visa ya schengen faster wakatiwe tiketi emirates qatar ama ethiopia airlines iyo itachukua ka siku mbili tatu. Nawalivyo reckless na mambo yao watadakwa tu adisababa, dubei ama doha nakurudishwa bongo.

Awe vigilant tu ansbert
Uyo ngurumo kila akijaribu kutafuta kiki zinagoma. Mwishoe namwona akirud nyumban kula ugali na maharagwe.
 
Back
Top Bottom