Ansbert Ngurumo asithubutu kuingia ubalozini Stockholm

Ansbert Ngurumo asithubutu kuingia ubalozini Stockholm

unamjua bana. Ni muandishi mzawa mzalendo wa habari za kichunguzi ambaye aliwanyima nakuwanyima usingizi kwa kuandika ukweli kuwahusu kwa mustakabali na manufaa mapana ya taifa letu.

Ni kama tu Jamal Kashoggi wa Saudia bila kudra za mwenyezi Mungu hadi Finlend ikampa hifadh angeokotwa kokobeach. Angalia mlichomfanyia Azory
Ujinga tu hakuna aliyekosa usingizi ndiyo maana alikimbia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzuqa

Yasije yakamkuta kama ya Khashoggi akidhani Sweden atakuwa Salama.

Hata kama hawatamchinjachinja kama Saudi Arabia ilivyofanya kwa muandishi Jamal lazima juju watampiga tu.

Ila tuseme kaingia hapo ubalozini hadi wamzuge ansbert asubiri, deputy president huku hadi atume hit squad itachukua siku mbili hawawezi kuitumia dreamliner wanaotudai wataikomalia.

Itabidi akina henry kisanduku waombewe visa ya schengen faster wakatiwe tiketi emirates qatar ama ethiopia airlines iyo itachukua ka siku mbili tatu. Nawalivyo reckless na mambo yao watadakwa tu adisababa, dubei ama doha nakurudishwa bongo.

Awe vigilant tu ansbert

Mzee unadhani DEN au SE au nchi yoyote yenye standards ya huko Ulaya unaweza fanya ushuwani kama waliofanya Saudia Turkye?

Halafu mchovu kama TZ ndio afanye hayo kwenye nchi serious kama hizo?

Kwanza itakua ni diplomatic breach number 1,then TZ atashughulikiwa na kenge wote EU!

Mzee,TZ sio Saudia,ni kama tembo na sisimizi!

Rwanda ilijifanya inarukaruka na upumbavu wa kwenda kuwinda watu mahotelini na tena walikua wanatuma mateja wanawalipa,SA alitoa sentensi moja,slim akafunga matako yake!

HIvi unadhani unaweza ingia nchi ingine uka-operate kwa kuvunja sheria za nchi husika?Kimekua choo hicho?Jaribu uone!1
 
Back
Top Bottom