Duh! kama hujui faida ya kuwa na serikali "transparency" then unahitaji kwenda kusomea good governance
Nikupe faida kidogo japo unatakiwa kujishughulisha kusoma kuliko kuabudu watu kibubusa ...uwazi umesaidia viongozi katika halmshauri zetu kuandaa na kuweka taratibu za fedha vizuri..angalia kila mwaka halmashauri zenye audit query zimeanza kupungua kwakuwa wananchi sasa kupitia madiwani wao wanakuwa na nguvu (evidence) za kuwashughulikia viongozi kutoka kwenye CAG report
Ni bahati mbaya viongozi wengi mafisadi serikalini ni wakatoliki...sasa inabidi wavumilie wanavuliwa gamba, michango hewa kanisani inaweza kupungua...
Ni bahati mbaya viongozi wengi mafisadi serikalini ni wakatoliki...sasa inabidi wavumilie wanavuliwa gamba, michango hewa kanisani inaweza kupungua...
Ansbert, kama ni kwenye ngumi basi hii umepiga kwenye pua! Kudos!
Mchango wangu...............
Kuna watu wachache (lazima niongeze kwa haraka "wachache mno") ambao wanajiita "Waislamu" humu JF lakini maneno na matendo yao yanauaibisha sana na kuushushia hadhi mno Uislamu.
Familia yangu ni ya mchanganyiko wa Wakristo na Waislamu, kwa hiyo nazijua vizuri sana values za Islam kwani nimekulia humo humo pamoja na huu Ukristo wangu.
Uislam unakatakaza rushwa, hauna ubinafsi, hauna uroho, hauna uvivu, hauna uropokaji, hauna kujitukuza, hauna kupenda makuu. Hauna uchafu huu hata kidogo!
Sasa hawa "Waislam" wa hapa JF ambao JK akipewa kibano inakuwa nongwa eti tu kwa sababu ni Mwislamu wanajitambulishaje??
Hao si Waislamu. Nani atapinga kwa ushahidi nikisema kuwa hao "Waislam impostors" wa hapa JF ndio akina Mukama? Kingunge? Chiligati? Membe? Kombani?
Nani anaweza akanipinga kwa ushahidi nikisema hapa kuwa Malaria Sugu ndiye Chiligati?
Nani???!!
CCM wanakaribia kwenye kibao kilichoandikwa "EXIT".
Ndugu zangu, Waislamu kwa Wakristo, watch your step... CCM inatafuta wa kufa naye!!
pumba hizo!! ulitakiwa useme aandikie gazeti lenye sera ya kusema ukweli.. call a spade a spade... sijaona kama amepotea kuandikia Tanzania daimaSasa huyu jamaa kwa nini anafanya kazi kwenye magazeti ya vyama (Tanzania Daima na Uhuru), si aende kwenye gazeti la Taifa, MwanaHalisi. Mimi ndo gazeti ninalonunuaga na sikutegemea kukuta taarifa ya Kiataifa huku. Naomba Saed Kubenea either mkodishe au amuajiri kabisa ili makala hizi tuzipate kwenye gazeti la Taifa, MwanaHALISI.
Alitaka kuonewa huruma. Alitaka kuwashitaki kwa wananchi waonekane wabaya, awe mzuri.
Anataka turudi kwenye propaganda za kijinga walizoimba miaka mitano iliyopita, kwamba rais pekee ndiye anachapa kazi, bali mawaziri wake wanamwangusha.
Ni bahati mbaya viongozi wengi mafisadi serikalini ni wakatoliki...sasa inabidi wavumilie wanavuliwa gamba, michango hewa kanisani inaweza kupungua...
Haya upi mchele sasa kununua na kusoma Tanzania Daima. Watu wengine bwana. Sasa nani asiyejua kwamba MwanaHALISI ndo gazeti ambalo kwa kiasi fulani haliko bias na siasa za vyama. Kama ulikuwa hujui, Tanzania Daima ni CDM na Uhuru ni CCM. Siwezi kuyanunua hayo magazeti kwa vyovyote vile.pumba hizo!! ulitakiwa useme aandikie gazeti lenye sera ya kusema ukweli.. call a spade a spade... sijaona kama amepotea kuandikia Tanzania daima
Haya upi mchele sasa kununua na kusoma Tanzania Daima. Watu wengine bwana. Sasa nani asiyejua kwamba MwanaHALISI ndo gazeti ambalo kwa kiasi fulani haliko bias na siasa za vyama. Kama ulikuwa hujui, Tanzania Daima ni CDM na Uhuru ni CCM. Siwezi kuyanunua hayo magazeti kwa vyovyote vile.
Well said mkuu.Ansbert, kama ni kwenye ngumi basi hii umepiga kwenye pua! Kudos!
Mchango wangu...............
Kuna watu wachache (lazima niongeze kwa haraka "wachache mno") ambao wanajiita "Waislamu" humu JF lakini maneno na matendo yao yanauaibisha sana na kuushushia hadhi mno Uislamu.
Familia yangu ni ya mchanganyiko wa Wakristo na Waislamu, kwa hiyo nazijua vizuri sana values za Islam kwani nimekulia humo humo pamoja na huu Ukristo wangu.
Uislam unakatakaza rushwa, hauna ubinafsi, hauna uroho, hauna uvivu, hauna uropokaji, hauna kujitukuza, hauna kupenda makuu. Hauna uchafu huu hata kidogo!
Sasa hawa "Waislam" wa hapa JF ambao JK akipewa kibano inakuwa nongwa eti tu kwa sababu ni Mwislamu wanajitambulishaje??
Hao si Waislamu. Nani atapinga kwa ushahidi nikisema kuwa hao "Waislam impostors" wa hapa JF ndio akina Mukama? Kingunge? Chiligati? Membe? Kombani?
Nani anaweza akanipinga kwa ushahidi nikisema hapa kuwa Malaria Sugu ndiye Chiligati?
Nani???!!
CCM wanakaribia kwenye kibao kilichoandikwa "EXIT".
Ndugu zangu, Waislamu kwa Wakristo, watch your step... CCM inatafuta wa kufa naye!!
Sasa huyu jamaa kwa nini anafanya kazi kwenye magazeti ya vyama (Tanzania Daima na Uhuru), si aende kwenye gazeti la Taifa, MwanaHalisi. Mimi ndo gazeti ninalonunuaga na sikutegemea kukuta taarifa ya Kiataifa huku. Naomba Saed Kubenea either mkodishe au amuajiri kabisa ili makala hizi tuzipate kwenye gazeti la Taifa, MwanaHALISI.
Duh! kama hujui faida ya kuwa na serikali "transparency" then unahitaji kwenda kusomea good governance
Mafisadi wanaadhibiwa na mahakama ne wengine watafukuzwa kwenye chama ....kelele za kina ansbert na pengo ni kuwa mbona wanaofukuzwa na kushtakiwa ni wakatoliki (hasira na chuki kidini)...
Ni bahati mbaya viongozi wengi mafisadi serikalini ni wakatoliki...sasa inabidi wavumilie wanavuliwa gamba, michango hewa kanisani inaweza kupungua...
Jielimishe:
1. Ngurumo ameandika Maswali Magumu tangu mwaka 2002 katika Mwananchi Jumapili, akamtia kibano Rais Mkapa. Lilipoanza Tanzania Daima akahamisha makala hiyo kwenye gazeti hilo mwaka 2004 hadi leo. Amemtandika JK tangu alipotangaza nia ya kugombea 2005 hadi leo. Alikuwa mwandishi pekee aliyethubutu kukosoa serikali ya JK wakati wahariri na waandishi wote wakiogopa kumgusa JK, au RA au EL. Hivyo, wanaoanza kumsoma leo, mmekoa mengi. Amekuwa pioneer, wengine wamefuata, na sasa wakosoaji wa JK wameongezeka. Katika wote wanaomkosoa JK, Ngurumo ndiye amekuwa consistent. Kudos!
2. Ngurumo ni mmoja wa walimu (mentors) wa Saed Kubenea, tangu enzi za RAI miaka ya 2000. Kubenea alipokuwa anasimamia gazeti la upinzani, Hali Halisi, kabla hajaanzisha MwanaHALISI, Ngurumo aliendelea na kazi hiyo - mentoring - akiwa anahariri gazeti hilo. Kwa hiyo, kabla ya Ndimara, mwalimu wa Kubenea alikuwa Ngurumo. Sijui kama ameacha kum-mentor sasa, na ndicho kiini cha urafiki kati yao. Ukisoma vema kazi za Kubenea utagundua kuwa yapo maneno na staili ambazo ameziiga kwa Ngurumo. Wote wawili hawa wana sifa moja ya msingi - ni waandishi jasiri.
3. Kubenea alipotaka kuanzisha gazeti la MwanaHALISI, miongoni mwa waliomsaidia kulianzisha na kulisajili ni Ngurumo na Absalom Kibanda. Nina uhakika watu hawa wawili, Ngurumo na Kibanda, wanaendelea na kuhariri baadhi ya kazi za MwanaHALISI hata leo.
4. Tanzania Daima si gazeti la Chadema, bali ni mali ya mtu, familia ya Freeman Mbowe (si unajua kila ampuni lazima iwe na mmiliki?) haliwezi kufananishwa na Uhuru kwa sababu si la chama cha siasa, na ndiyo maana utakuta habari zinazowabeba watu wa CCM au tahariri zinazounga mkono masuala kadhaa ya serikali katika Tanzania Daima. Mbona kumekuwa na habari na makala nyingi zinazoumiza Mbowe au Chadema? Huwezi kukuta Uhuru ikisifia lolote la Chadema, na ndiyo maana Uhuru halinunuliwi (linategema ruzuku na subscription ya lazima kwenye wizara na idara za serikali), na Tanzania Daima linakua kila siku. Ni vema tutofautishe mali za Mbowe na mali za Chadema. Mimi naamini Tanzania Daima limeamua kuwa na sera ya MABADILIKO, na kwa kuwa Chadema inasimamia mabadiliko hayo, achana na ukweli kwamba inaongozwa na Mbowe, lina kila sababu ya kuendelea kuandika linavyoandika, maana limetusaidia sana kuinua akili, hisia na mioyo wa Watanzania katika mapambano. Siku Tanzania Daima litakapogeuka la Chadema ndiyo siku litakapoanza safari iliyoliua Uhuru. Unapozungumzia magazeti ya TAIFA, huwezi kuyasahau Tanzania Daima na MwanaHALISI.
5. Waliochelewa kumjua Ngurumo ndio wanaomshangaa na kumlinganisha na Kubenea. Ukweli ni kwamba hawalingani, hata kama wanashaabiana katika mambo fulani fulani. Sisi tuliofuatilia maendeleo na ukuaji wa Kubenea katika fani ya uandishi, tunatambua kazi nzuri ya akina Ansbert Ngurumo na Ndimara Tegambwage katika kumtengeneza Kubenea kuwa hivyo alivyo. Anayebisha amuulize Kubenea mwenyewe, maana kwa jinsi asivyo mtofu wa shukurani atawasifu na kuwashukuru waliom-mentor... hawa niliowataja na wengine anaowajua, waliolifanya MwanaHALISI kwa hivi lilivyo leo. Kubenea unasemaje?
Nawasilisha.