Another OFFER FROM Airtel- Univouchers

Another OFFER FROM Airtel- Univouchers

Mkuu tuje kwenye huduma ya switch on labda sijajua kwako lakini watu wengi tunalalamika sio unlimited kwa sababu kila ikifika mda inakata ukiunga tena inakubali ndo maana watu wanasema sio full unlimited wengine wanasema ikifika 1gb inakata sijuhi hili unasemaje
 
Kuna vocha zake maalumu, special for university student, unakumbuka Boom club, sasa hii ni remix

In this world nothing is certain than Tax and Death.
hii kwa kila mwanafunzi wa university au kwa university za DAR tu?? mbona sioni official version ya hii huduma?? naomba muongozo
 
Mkuu tuje kwenye huduma ya switch on labda sijajua kwako lakini watu wengi tunalalamika sio unlimited kwa sababu kila ikifika mda inakata ukiunga tena inakubali ndo maana watu wanasema sio full unlimited wengine wanasema ikifika 1gb inakata sijuhi hili unasemaje

Mkuu inakata sababu unaunga na computer, unatumia simu kama hotspot/modem, wakati hivyo vifurushi ni kwa ajili ya matumizi ndan ya kifaa husika either iwe smartphone, normal phone au tablet

Cha kufanya waweza download utorrent from google store kisha movie ukashusha kwa kutumia simu kama we ni muhumini wa Android

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
hii kwa kila mwanafunzi wa university au kwa university za DAR tu?? mbona sioni official version ya hii huduma?? naomba muongozo

Mkuu hii ni kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu, ni kwa vile imetoka jana tu lakini ni kwa TZ nzima itasambaa punde

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Mkuu hii ni kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu, ni kwa vile imetoka jana tu lakini ni kwa TZ nzima itasambaa punde

In this world nothing is certain than Tax and Death.

kwa hiyo sisi wa mkoa tusubiri hadi hizo vocha maalum zije university. au tukijiunga maeneo ya campus itakubali??
 
Mpaka vocha zije kamanda Paje

Back
Top Bottom