Another Look at Masturbation

Another Look at Masturbation

Ngoja tutawatafutia peom yao pia!
 
Wapi members wa CHAWAPUTA..!!

Msimamo wangu juu ya hilo suala ...unajulikana kwa wanabodi wengi...

Masturbation is healthy...

Katika ulimwengu huu tulionao wenye maradhi mengi...NI BORA KUJIPENDA MWENYEWE..

Jambo la msingi usi-overdo

Hii kitu alitumia sana Mandela alipokuwa jela na kwenye one of the interviews ameshauri ni measure nzuri ya kupambana na UKIMWI ukizingatia rate kubwa ya maambukizi na wagonjwa pale SA

...REVOLA was the best... or KOMESHA ...though ilikuwa ya kufulia but ilikuwa na mafuta ya kutosha...LOL
 
hahahaah! Mkuu wewe huwa unajipimia?
 
Utakuwa hukuitumia vizuri ndio maana unaiandika vibaya. Hakunaga kama masturbation nawaambia.

Masturbation ina-save time, kwani hupotezi muda kwenda kumtafuta mwenzio kwa ajili ya ku-do.

Masturbation ina-save money. Time is money. Hapo juu unakuwa ume-save time, hivyo utakuwa ume-save money.

Lakini pia kwa wale wasio na ndoa au wenza wa kuishi pamoja, masturbation inapunguza gharama za kusafiri au kulipia mahali pa kukutana na huyo mwenzako wa ku-do naye.

Masturbation ni huduma unayojipatia wakati wowote unapojisikia kuhitaji. Hupati usumbufu wa kutoa sijui taarifa kwa mwenza, au sijui mpaka umuandae mwenzio ili na yeye afurahie tendo....hii ni wewe tu unajipia faster na kumaliza.

Masturbation ni kinga dhidi ya maradhi ya zinaa na VVU.

Masturbation ni njia ya uzazi wa mpango kwa wale msiojua. Lakini pia inasaidia kuzuia mimba zisizotakiwa, hii ni kwa wale wenye tabia ya kufanya mapenzi hovyo hovyo.

Dahhhh.......

Ngoja nikapige masturbation kimoja kwanza ndo nije kuongezea points......
 
Could masturbation be a form of rape done in the mind? Because because people do it without the consent of others....
 
Back
Top Bottom