Another Joke from Kikwete: Every student to have computer in five years time

huyu jamaa nimkwere na ataendeleza mila za kikwere tuu..
 
dah wadau kweli mna hasira lakini ni kweli jamaa anaboa ahadi kibao mithili ya mipasho lakini hazitekelezeki badala yy na serikali kutafuta vyanzo vipya vya mapato kila mwaka wanashupalia bia,soda,maji,sigara.wajanja wanakula madini wanasepa wanabakisha mashimo tu,misitu ya asili waarabu wanakamata nenda ngorongoro kuna sehemu hupati network za kitanzania unaambiwa umeingia Arab emirates kama hamuamini nendeni muone hii ndio Tanzania bwana ohoooo!tutabaki tunalalamika tuamaue tuiondoe ccm madarakani
 

Halafu nyingine ya serikali kuhamia Dodoma baada ya miaka mitano; sijui bado atakuwa madarakani!!!!
 
Tabu kubwa ya kiongozi wenu hana la maana hadi atizame TV za nje ili apate mbwembwe, wala hatudanganyi sisi tu, yeye mwenyewe ni rahisi wa kwanza kudanganywa kuliko raisi yeyote alie wahi tokea nchini, alidanganywa hesabu za Tucta nae akaliambia Taifa uongo,juzi juzi kafungua bwawa fenk, juzi juzi kapokea cheki hewa huko nyanda za juu,alidanganywa na Bush et atatokomeza malaria kwa vyandarua vya msaada wakati huo anaambiwa waambie watu wako kwanza wapate mimba ndo wapate net za futi tatu ,sasa hapo nani anadanganywa? au analipa kisasi? Raisi tunae
 
Ulaya kwenyewe hakuna tele-conference sembuse Marangu Tanzania! Tatizo huyu jamaaa nawaza vitu vikubwa wakati uwezo kufikiri/kubuni mpango endelevu hana! Unawaza tele-conference wakati umeme, computer, internet huna, huu si ugonjwa jamani!
 
watu wa kupiga kazi kawaweka kando! maana yake nini? Inawezekana ni mradi wake labda anataka kujenga International school yeye akiwa mmoja wa wadau ili watoto wa mafisadi wasome hapo.

Yap, tena ni hivi lazima kuna mpango maalumu unaundwa kwa ajili ya watoto wa mafisadi ili wapige shule hapa hapa, harafu mafisadi wengine wa nje nao wawe wanakuja hapo moshi si unajua hali ya moshi kama uko ulaya vile, lazima kuna dili linachongwa ama chuo kikuu au international school, kama ni chuo kikuu basi cha wauza sura.
 
Hii ahadi imebakiza miaka miwili tu...ndio kwanza watoto wamefeli hivi.................CCM hoyeee
 
Huyo si ndo alisema MAITI ZOTE ZA AJALI YA MELI ZIPIMWE DNA ILI NDUGU ZAO WAZITAMBUE huyu mzee wa blah blah a.k.a fix
 
Mh ni kichekesho hapo mbona 5years to come hiyo technology itakuwa outdated? washindwe kuanza na maabara za computer wataweza hyo mifumo ya gharama,danganya toto hyo!
 
hahahaaaaa mie simo bhana
Mh ni kichekesho hapo mbona 5years to come hiyo technology itakuwa outdated? washindwe kuanza na maabara za computer wataweza hyo mifumo ya gharama,danganya toto hyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…