Mkuu haukutuma request PM kwake?We acha tu
Hapa ulionesha kuwa unaijua PM
Halafu huku ukaja kukana kuwa huijui PM.
Nahitimisha kwa kusema kuwa wewe sio mgeni hapa JF, nimefuatilia post zote kuanzia page ya 1 hadi ya 6 inathibitisha hiyo.
Usituhadae na ID mpya, dhamira yako ya kuwa na hii ID mpya utaitimiza.
Mkuu haukutuma request PM kwake?
Au wewe ni kati ya watu wachache wenye machale?
We jamaa upo kila mahara
moyo wako ntaulinda nipe tuu
moyo wako ntaulinda nipe tuu
wallah nimecheka shost cc miss natafutambona wanawake wenzangu mnamshambulia mgeni? mlitaka nidanganye kazi, nilipo, kabila...au mlitaka nijitambulisheje mashosti?!
hatari mkuuEbwana JF ..mnatunza kumbukumbu San.
Sanaaaa sijui Husna anatumia ID gan sasa.hatari mkuu
..ID imeunganishwa kutoka Husna hadi Erick otieno
JF ina raha na balaa zake.wallah nimecheka shost cc miss natafuta