Another BossLady in the House, Hodiii

Hapa ulionesha kuwa unaijua PM


Halafu huku ukaja kukana kuwa huijui PM.


Nahitimisha kwa kusema kuwa wewe sio mgeni hapa JF, nimefuatilia post zote kuanzia page ya 1 hadi ya 6 inathibitisha hiyo.

Usituhadae na ID mpya, dhamira yako ya kuwa na hii ID mpya utaitimiza.

Mkuu haukutuma request PM kwake?
Au wewe ni kati ya watu wachache wenye machale?
 

5fb80e04b3caaf87ee0d7fab5ba1c708.jpg
We jamaa upo kila mahara
 
Back
Top Bottom