Another BossLady in the House, Hodiii

764139058000b0a292d680406024059e.jpg


Huez kua mgeni humu alafu post yako kwanza ikawa hii... hii ni mwenyeji ila ni ID mpya tu!


88f186264b786fc11fb9019c8655f4ee.jpg


Wasiwasi wangi ni kua unaeza kua mwanaume asee! Sio kwa fujo hizo za new id


Kwa wanaume wa Dar wala hujakosea, usikute kaweka tu id ya dada yake ili aopolewe na kupakuliwa kisamvu.
 
Hahaaa...yaani huyu jamaa amenichekesha saa saba Usiku hii numesoma uzi wake wa kuuza vitanda hapa Aisee. Yaani kutoka bosi mpaka mchuuzi wa vitanda duu kuishi kwingi kuona mengi...
 
Alikuwa kazini huyo.
Kuna walioliwa pesa zao.

Kuna watakao kamatwa kama kuku kutokana na makosa ya kimtandao kwa wale waliotoa namba za simu na utambulisho wao halisi.

Usiseme hivyo watu watajinyonga maana nasikia orodha ni ndefu sana.

Ile picha ya Husna anakula kongoro iliwanasa wengi sana
 
Back
Top Bottom