Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,354
- 1,943
Ni bahati mbaya kwamba vijana wa ANC wameanza kuwakong'ota wenzao wa Cope. Inaonekana hawataki wafanye hata kampeni.
Ni bahati mbaya kwamba vijana wa ANC wameanza kuwakong'ota wenzao wa Cope. Inaonekana hawataki wafanye hata kampeni. Mbaya zaidi inaonekana fujo hizo zinashabikiwa na kupewa baraka zote na uongozi wa juu kabisa wa ANC. Sasa Cope wameanza kushindwa kufanya kampeni kwa sababu ya fujo. Ni wazi kwamba hali hii ikiendelea hivi tunatengeneza mgogoro mwingine Afrika, na hii itakuwa ni aibu sana kwetu sote na itazidi kuthibitisha maneno ya Nyani kwamba "ndivyo tulivyo". Hali hii yafaa tuizomee mapema, tutashtuka tukiwa tumechelewa sana.
Soma hapa zaidi: ANC unleashes terror against election rivals - Times Online
Hii ndio Afrika yetu, viongozi wanatumia kila njia vyama tawala vyao vibaki madarakani. ...
Ni bahati mbaya kwamba vijana wa ANC wameanza kuwakong'ota wenzao wa Cope. Inaonekana hawataki wafanye hata kampeni. Mbaya zaidi inaonekana fujo hizo zinashabikiwa na kupewa baraka zote na uongozi wa juu kabisa wa ANC. Sasa Cope wameanza kushindwa kufanya kampeni kwa sababu ya fujo. Ni wazi kwamba hali hii ikiendelea hivi tunatengeneza mgogoro mwingine Afrika, na hii itakuwa ni aibu sana kwetu sote na itazidi kuthibitisha maneno ya Nyani kwamba "ndivyo tulivyo". Hali hii yafaa tuizomee mapema, tutashtuka tukiwa tumechelewa sana.
Soma hapa zaidi: ANC unleashes terror against election rivals - Times Online
Hehehee...Kitila umejichimbia wapi siku hizi bana? Umeona juzi zimechangwa dola 250,000 ili kufanikisha sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Mugabe? ihihihihihihii....
Heheheheeee...Miafrika haiishi kushangaza! Mara tu unapoona baadhi imeanza kujirudi inaibuka mingine inayoharibu...eheheheheheheeee...oh Lord have mercy....