Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,739
hapo kwenye red mkuu i beg to differ..she got the sexiest lips in the house but what comes out of that god's creation is another story..she is two faced,coward,hypocrite and envious.
chunga mdomo wako nawe...
chunga mdomo wako nawe...
kung'oka ni kama kumsukuma mlevi tunamhandaa mtu wa kundondosha kama land slide
sijakwazika bibie.ila huyu mama nyie ndio mli,pigia kura ninioooh pole km umekwazika .na mie pia ni mpare so mimate inantoka
Sheria ifuatwe katika kumuondoa isiwe kuvunja katiba na kutumia ubabe.
Kwa sharia za Tz labda mjipange 2015 kama sio kifo au kichaa.
hakuwahi kutajirika kisiasa kwa kweli !anafaa kugonga debe kwenye daladala tena linaloelekea tandika huko!
sijakwazika bibie.ila huyu mama nyie ndio mli,pigia kura nini
Sheria ifuatwe katika kumuondoa isiwe kuvunja katiba na kutumia ubabe.
Kwa sharia za Tz labda mjipange 2015 kama sio kifo au kichaa.
Acha ushamba wewe, sasa ameongea kilango kama cherehani ndo ugeneralize wapare wote?? tumia akili bana
Natumia simu I wish nitafute PC nikupe like kubwa
Hahahaha! Mhh nawe... vantu va Ivuga tevekoma.,vantu ngwa ni vapole sana....!
Huyu Kilango nashukuru si Mama yangu, kwanza hajui kujenga hoja yeye ni makerere tu, kutema tema mate ovyo ovyo, kurusharusha mikono ovyo ovyo, mishipa inamtoka, nahisi wabunge wanaoketi nae karibu bungeni wanakwazika, huyu Mama ni chiriku sijui ujana wake alikuaje? waliosoma nae watujuze!