Anne Kilango Malechela lazima ang'olewe

Mwenzenu sijaona huo "upambanaji" wake zaidi ya unafiki wa waziwazi! Nimropokaji mzuri na anaweza kung'olewa kirahisi tu endapo CHADEMA wataweka effort ya kutosha kuwaelimisha watu wa jimbo lake. Nashauri shughuli ianze sasa na aonje nguvu za umma.
 
Mnafiki sana huyu mama! ni kama Ole sendeka tu, na wana magamba wengi!!
 
Huyu mama jamani amejeruhiwa sana....ni muongo na mnafiki....mimi huwa namwita mbumbumbu wa hoja...hajawahi kutoa hoja hata moja bungeni...yeye huwa anatumia hisia tu na nguvu....ni kipindi kile cha richmond mama huyu alikuwa analia badala ya kutoa hoja....mimi niko tayari mwaka 2015 niende same kuongeza nguvu ya kampeni kwa upinzani kumuondoa mama huyu changudoa wa sheria...
 
wapare utawaweza wakipewa masufuria za pilau, kanga na kofia baaas, angalia hapo Mwanga, toka Msuya astaafu Maghembe kafanya lipi la maana?
 
sijui kwa nini chadema walishindwa kulichukua hili jombo mwaka 2015.

Tukifika nadhani lazima litachukuliwa. Mama Malecela huwa ni mlopokaji tu, uzalendo hana hata kidogo. Mi nadhani wapare si wajinga kiasi hicho, watamwadabisha soon.

Kwa kuwa ameutetea ukuu wa wilaya, bungeni atarudi aidha kwa viti maalumu au upendeleo wa Rais na kama yote ykigoma basi atapewa huo ukuu wa wilaya ili atimize alichokitaka.

FATAKI LA KIKE WEEE!!!!!!!!!!!!
 

jana nilikuwa natafakari uchumi wetu miaka 15 iliyopita, miaka hiyo sh. Ya tanzania ilikaribiana sana na ya kenya, lakini ya uganda ilikuwa ni mbovu kupita maelezo. Ni miaka hiyo ambpo watanzania wenye visent waliwapeleka watoto wao uganda, kwa kuwa ukichenji madafu yao, kwa hela yetu ulikuwa unakuwa tajiri.

Leo tofauti ya pesa yetu na uganda eti 1tsh=0.56 ush.
 

Duh! Akisoma haya mabandiko, lazima mama mtu achanganyikiwe na kuomba JF ifungiwe kama alivyoomba mjasiria Rwakatare
 
ANAJIPENDEKEZA KWA RAIS ILI AFIKIRIWE KWENYE UWAZIRI:lol:




 
mnavyosema haeshimu maamuzi ya rais kwani rais hakosei? Acheni kumtukuza rais.
 
Hawa Ma-DC kwenye katiba mpya tunataka hiki cheo kiondoshwe. Kuwaingiza kwenye mchakato wa katiba mpya ni sawa kuuambia mkono wa kulia uukate mkono wa kushoto, hapa haki haitatendeka kabisa.

Tena ma-DC wanatetewa kwa hoja dhaifu eti Wakurungezi ni wanachama wa CDM. Mama Anna Kilango haifai. Paka hukosi huruka yake ya kushika panya hata kama anakula McDonald. Anna Kilango bado ana huruka za enzi zile pamoja na kuolewa na Kigogo Malecela.
 
Umenena, sasa hivi ukienda Mamba ni tabu tupu, barabara iliharibiwa na mvua hadi watu walikuwa wanapitia saweni!! 2015 lazima tumuoneshe kuwa mchunga ni dawa ya malaria pia na sio mboga tu

Mrembo by Nature,

Asante kwa mchango wako. Kile unachoeleza ni ukweli mtupu! Maana huyu mama Anna Kirago kiukweli siyo Mbunge wa Same baali Mbunge wa Idodomya mjini! Mzee Samwel Malechela ambaye ni mmewe siku zote anakaa Idodomya na yeye kama mkewe lazima wakti wote awe karibu na mzee. Sasa ni saa ngapi ataenda Upareni kujua matatizo ya Wapiga kura wake kama vile barabara,zahanati,shule na matatizo mengineyo.

Wapare hebu changamkeni acheni kulea ujinga wa huyu mama. Hebu jaribuni kumwuliza kile Kiwanda sijui cha Tangawizi alichomwita Rais na Mwenyekiti wake Kiwete kukizindua kwa mbwembwe kimewaletea faida gani Wapare? Nijuavyo hali ya hewa ya Upareni Ukipiata ni almost nusu jangwa. Sasa huwa najiuliza hizo Tangawizi zinalimwa wapi mpaka zijengewe kiwanda?

Huyu mama bila shaka ni mtu wa kutaka mijisifa tu. Nawashauri Wapare wote wa Mamba,Saweni,Vudee,Mkomazi,Makanya, Kisiwani na maeneo mengine unganeni kumkataa Anne Kilango na Chama Cha Mafisadi. Vinginevyo Wapare mtaendelea kubakia hapohapo na msemo wenu maarufu wa,''thithi thithi ndiyo mama thao na baba thao'' Lakini habari ya Maendeleo msahau kama mtaendelea kumkumbati huyu mama kipereto Anna Malecela.

Nasikia huyu mama wakti wa kampeni za 2010 alikuwa akiwasalimia Wapare kwa kusema,''Jakaya" na wao kuwaambia waitikie kwa kusema,''Kikwete'' badala ya ''N'dejedi''(Kwa kipare Jakaya maana yake ni,Zanyumbani kwa maana ya habari za nyumbari, na N'dejedi ni kuitikia kuwa, ni nzuri). Sasa yeye alikuwa anawalazimisha watu waitikie Kikwete ili kukoleza Kampeni za Chama chake na Rais wake Kikwete.
 
Huyu mama ni twahuti mkubwa na akafie mbele huko
 
Hivi huyu pashkuna amesahau kwamba Sofia Simba aliujuza umma kuwa Jeethu Patel lile fisadi la EPA lilichangia Million 200 kwenye harusi yake na tinga tinga?Akomekabisa kujifanya ni mpambanaji wa ufisadi.
 
Huyu mama anafanana chiriku hata ukiona anvyokunjakunja midomo yake nafikiri wabunge wanao kaa nae karibu huwa wanaloa kwa mimate yake
hapo kwenye red mkuu i beg to differ..she got the sexiest lips in the house but what comes out of that god's creation is another story..she is two faced,coward,hypocrite and envious.
 
Anadhalilisha wamama wa nguv walioko nafasi za juu !ye anakuwa kama mama muuza chang'aa bhana makelele kama chizi mimate inamtooka
!!!

Wapare bhana aghrrr
ukiwachunguza wengi wana viherehere na wanaongea kuliko cherehani

Watani zako lazima duh!!!!!!!!!!!!! umewamind ile mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…