Anne Kilango awavaa CHADEMA...

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
1,363
Reaction score
224
  • Asisitiza damu kutomwagika 2015
  • Awwaonya wanaotoa lugha chafu dhidi ya JK

Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango amewashukia baadhi ya viongozi wa Chadema wanaojipitisha jimboni kwake na kutoa kauli za kuhatarisha amani iwapo hawatashinda katika uchaguzi wa Mwaka 2015.

Source: Gazeti la Uhuru: Mei 28, 2012.
 
huyu mama anaweweseka ..mbunge gani huna facebook twitter wala ngugu zake ..huyu mama ni mjima mambo yake yote ni ya ki-local ..pesa ya kiwanda cha tangawizi kaila barabara mbovu jimbo lake halina barabara ya lami hata moja anashinda kwa mumewe mze3e malecela keshalisahau jimbo lake huyu anaweza hata asifike 2015 kwa jinsi watu walivyomchoka tayari

hospitali zinatotegemewa ni za katoliki
 
ana akili fupi na ndogo kama za william malecela na dead-man walking john samuel malecela(small letters intended!!!!) na ndio maana wanaelewana sana...akili za mkorogo.
 

Kazi anayo kwa MAMA KABOYOKA..
 
kafulia.........
 
Hivi zile Tsh. 200,000,000/- alizotoa Jeethu Patel kwenye arusi ya Anne Kilango na John Samwel Malecela zilikuwa mchango au mkopo? Ana mengi ya kutueleza huyu mama. Najua anasumbuliwa na kihoro cha ndoto yake ya kuwa first lady kuyeyuka kama barafu juani.
 
mnafiki mkubwa huyu mama, hebu kwanza atuonyeshe sahihi yake kwenye list ya Kabwe Zitto, kama haipo na anyamaze milele.

Kujikomba kwa JK sasa akitolewa kauli za matusi kwani JK ni hati miliki yake? anatia aibu amedunda kweli kweli, UWT kakutana na mkali sofia kapigwa dafrau maana kazoea majungu, cha ajabu hata kwenye nyumba ya mzee baada ya kugeuka kero kero na kujaribu kwa nguvu kufunja uhusiano mzuri wa mzee na familia yake kagonga mwamba sasa, alishapelekwa polisi na binti mkubwa wa mzee kwa ruhusa ya mzee, alishajaribu kutaka kuchakachua nyumba ya mzee na marehemu mmewe ya pale sea view, na kunahabari kwamba hata viwanja vya marehemu mama Nezerina Malecela vya kawe alishapitisha mguu huko.

Huku upareni tupeni habari za kiwanda cha tangawizi, huyu mwanasiasa changudoa apeleke ushenzi wake huko huko jimboni kwake kama anaweza, toeni haya mamluki kujikomba kote huku hata uDC hajapewa kazi kushinda na william kupanga mikakat ya kuimaliza first family ya mzee, hamuwezi ng'o watanzania tunawaangalia na kuwafuatilia
 
Ndio anatumia kubabulia huo USO
 
Kwa ujumla haendi na wakati na hasomi alama za nyakati, kama anataka kuendelea kukamata hilo jimbo avuwe gamba avae gwanda mapema kabla hakijanuka. Baadaye hatapata wa kumlilia tumetimiza wajibu wetu kumshauri.
 
 

Mama mkwe wangu ana mambo kweli. Ni bora akawapelekea Ikumbo na naki hizo hela tokwa kwa Patel kuliko kuwaacha wanaye wauze vitumbua minnessota. Kale kafupi Ikumbo naye nasikia anataka kuingia siasa baada ya mjamaica wake kafumaniwa akipewa tigo. Siye yetu macho tusubiri tuone. sidhani huyu mama atathubutu kugombe atena kwa maana kashfa za binti zake na zake mwenyewe zitamuandama sana
 
 


Anatumia A\C ya Facebook ya mwanawe wa kiume Le Mutuz William Malecela.
 
Anatumia A\C ya Facebook ya mwanawe wa kiume Le Mutuz William Malecela.

- Wacha hizo mimi nipo mitandaoni hata kabla hajaingia popote, wacha hizo sitaki kugusa mjadala wenu kwa sababu kwangu ni irelelvant, last time mlisema haya haya akawashinda, kama kawaida mmeanza tena sio worthy ila kwa wasiojua, nilitaka tu kumjibu huyu mtu aliyetumwa hapo juu, lakini sina shida na huu mjadala huwa ninashikiri mijadala serious sio kama huu!

William.
 
Wiliam!! Kwenye bandiko lako hapo juu sikuona pointi yoyote zaidi ya MIPASHO NA KUJINADI KUWA WEWE NI MCHAWI NA UNAUJUA VYEMA UCHAWI!!

Willy!! Mtu ukishafikia hatua ya kugombea nyadhifa ktk jamii, unatakiwa kuongeza ujazo wa BUSARA ili uwe kioo cha jamii!! Mambo mengine unapuuzia hata kama yanapain, ama unajibu kibusara zaidi ili kujijengea heshima!! Tumia zaidi kichwa Willy!!

Hapa napata tabu kidogo kuelewa ilikuwajekuwaje ukapata nafasi ya kugombea EALA japo ulishindwa!!!
 
Source: Gazeti la Uhuru. Siongezi kitu ila kumbukeni "Debe tupu............?"
 
Source: Gazeti la Uhuru. Siongezi kitu ila kumbukeni "Debe tupu............?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…