Anna Tibaijuka Achunguzwe zaidi

Anna Tibaijuka Achunguzwe zaidi

Huyu Waziri anatakiwa kufanyiwa uchunguzi zaidi,
Haiwezekani apate msaada wa sh. 1.6billion
Kwa ajili ya shule yake ambayo bado inatoza ada kubwa ajabu.

Kutokana na nafasi aliyonayo huyu waziri, hasa kwenye maswala ya ardhi inalazimika uchunguzi zaidi ufanyike juu yake,
Kuna uwezekano kamega pande la ardhi ya nchi yetu tayari..

isije ikawa magogoni......ule upande wa open space !? :confused2:
 
Hebu angalia unavyojichanganya...
1; Shule ilianza kusajili watoto yatima tu ambao hawakulipa ada (Inaonekana mbinu hii ilitumika kwa ajili ya kuombea misaada na kuaminisha uma kuwa shule haifanyi biashara)

2; Baadae Shule iliongeza kundi jingine la watoto wenye uwezo (Hapa kwanza unapunguza watoto wa kundi la kwanza ambao ni yatima na pili Unatoka nje ya mission na vision ya shule kusaidia watoto yatima)

3; Matokeo yalipokuwa mazuri shule ikabadilisha sera yake na kuanza kupokea watoto wenye uwezo (Hapa biashara imeanza rasmi)

Kwa ufupi watoto yatima wanatumika kama kigezo cha kuombea msaada tu shuleni kwenu.Na usikute hawafiki hata 20 shule nzima.Kiufupi shule yenu haieleweki inafanya biashara au inatoa huduma.

mkuu umeniwahi nami nilitaka kumuuliza watoto yatima wapo wangapi kati ya wote? km kweli ana nia ya kusaidia maskin bas afanye kama alivowahi fanya father Pekupeku wa Morogoro ambaye alikuwa na kituo cha st elizabeth na alichuku wale watoto wa mtaani tu
 
Hawa wanaomwandama hapa nimetambua wanaongozwa na vitu vikubwa 3 na ni malimbuka wajinga wa karne ..kwanza wanaongozwa na 1.emotions, 2.assumptions na 3. hatrade ..zaidi ya hapo they prove being awkwards!
 
Inawezekana ufisadi hakuanza leo. Huwa najiuliza zile pesa alizokua anamwaga hovyo mdogo wake Alex Kajumulo zilikua zinatoka wapi maana inasemekana zilikua za huyu mama!..mama ni tajiri sana na utajiri wake unatatanisha sana japo wengi wataanza kumfahamu sasa. tutajua mengi ngoja tuone
Utajiri mwingi aiiupata kupitia BAWATA alianzisha miaka ya 90 mumewe akiwa Ubalozini sweeden. Baraza la Wanawake tanzania likawa tishio kwa UWT likafunguliwa kesi na ccm Kuwa Lina lento la Kuchafua Hali ya siasa! Alianza harakati mapema!!!! Pia alijipatia pesa nyingi za research kupitia serikali ya Sweden kutoka mashirika yake ya maendeleo. Harakati sake hizo zilimfanya mumewe awe demoted na kuhamishiwa balozini Rwanda ambapo ndiko alikofia. Ni mjanja Sanaa na wizi wa Siri. Bawata ilipata hela nyingi toka kwa wazungu na lengo la kisiasa. Kwa hiyo alibaki na hela nyingi pale shughuli za bawata zilipopigwa stop na kufunguliwa kesi ambapo ilichukua miaka kumalizika na kuruhusiwa hope ni mwaka 2012 or2011. Hela za escrow inawezekana baada ya kuingia account ya shule yake itakuwa alihamishia pia BAWATA. Achunguzwe tapeli Huyu.
 
Hawa wanaomwandama hapa nimetambua wanaongozwa na vitu vikubwa 3 na ni malimbuka wajinga wa karne ..kwanza wanaongozwa na 1.emotions, 2.assumptions na 3. hatrade ..zaidi ya hapo they prove being awkwards!
Rweyemamu pole. Ninamjua kwa undani na mengine nimeficha. Angalia post yangu hapo juu. Najua inakuuma wahaya utapeli wao kuwa hadharani. Hata mjini Dar si ndiyo wanaongoza kwa misheni tauni?:sad:
 
Unatakiwa kuwa na uwezo wa kusoma na kuelewa kilichoandikwa;siyo kutembeza uswahili wala kutanguliza hisia kali. Nimekushauri usome mkakati wa shule. Tatizo lako na watu waaina yako mnajadili pesa badala ya kufahamu na kujadili masuala makuuyanayobeba mjadala (debate).

Kama hujui mkakati wa maendeleo wa asasi husika usijiingizekwenye mjadala kuhusu maendeleo ya asasi hiyo.
Kupata wazo na kubadilisha wazo kuwa bankable project, ku-developplan, kuandaa design ya kutekeleza mpango, kuanzisha asasi yenye malego namajukumu ya kutekeleza shughuli wakilishi ya wazo la awali la maendeleo Fulani (sema shule) siyo jambo la mzaa wala eneo la kila mtu kuweza kufanya, achiliambali kufahamu. Na hili ndilo tatizo la nchi maskini na fursa kwa asasi zakimataifa kama benki ya Dunia, IMF, Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya nakadhalika, kuingilia na kuchagiza mipango ya maendeleo ya nchi maskini, ikiwani pamoja na Tanzania. Hali hii inaitwa poor public policy understanding,design, execution/implementation and analysis of underdeveloped countries.

Kama asasi (shule) husika huzijui usijiingize kwenye mjadala kwa hoja za kufikirika bila rejea ya nadharia au taarifa za tafiti.

Kwanza nataka ufahamu kuwa binafsi sina uhusiano wowote nashule za Tibaijuka zaidi ya watoto wangu kusoma pale na ninalipa karo kiasichote cha Tzs. 4.5m/- kwa kila mtoto. Hivyo I am an impartial, civilised andresponsible citizen nisiyependa uswahili na ubabaishaji katika maendeleo – kuanziangazi ya mtu mmoja, kaya na asasi rasmi (kitaifa, kimataifa, serikali, isiyo yaserikali, biashara au huduma).

Ukiwa mwananchi unayewajibika unajukumu la kushinikizaserikali ya CCM iboreshe shule za umma (walimu, vifaa, miundombinu, usimamizi) ili watoto wako, na pengine waWatanzania wengine wa aina yako, waweze kunufaika na elimu bora badala yakuchukia wadau wa harakati binafsi za kuwekeza kwenye elimu.

Unaweza kumwajibisha Tibaijuka kwa namna yoyote unayowezalakini siyo ku-launch unduly accusations and uninformed arguments.

Hakuna ugumu wowote kuendesha taasisi/shule yenye Ada ya 4.5m kwa mwanafunzi plus Misaada ya 1.6bilioni. Labda wewe binafsi ushindwe.

Mengine umeongea binafsi zaidi sioni points zozote.

Hongera kwa kusomesha watoto wako Babro wangu wapo Kata ila wote watakutana chuoni.
 
Jimboni kwake eneo la Kyamunyorwa amewapora wananchi ardhi, aliwahamisha kwa nguvu,wakati yuko UN, wananchi zaidi ya 300 yaani amechukua kijiji kizima na kuzungushia fensi.
 
Huyu Waziri anatakiwa kufanyiwa uchunguzi zaidi,
Haiwezekani apate msaada wa sh. 1.6billion
Kwa ajili ya shule yake ambayo bado inatoza ada kubwa ajabu.

Kutokana na nafasi aliyonayo huyu waziri, hasa kwenye maswala ya ardhi inalazimika uchunguzi zaidi ufanyike juu yake,
Kuna uwezekano kamega pande la ardhi ya nchi yetu tayari..

Mwanzo hebu fikiria kwa nini kuna utatanishi juu ya mradi wa Kigamboni. Tibaijuka kwa nafasi yake huko ardhi, alitumia nafasi hiyo kuiwahi serikali. Badala ya kuchukuwa na kupima maeneo ya kigamboni kwa manufaa ya nchi, yeye akayachukuwa kama mali binafsi huku akisingizia ni serikali. amekuwa akilazimisha kuwatumia wapimaji wa pale halmashauri ya Temeke kuonyesha kwamba ni serikali huku akitaka awalipe watu pesa ndogo kabisa ili achukuwe sehemu kubwa ya maeneo.

Hapo ndo kuna mgogolo ambao umeagusha mambo ya Kigamboni. Kwa sasa nahisi ana matatizo ya kiafya na yamemuathili kiakili. Akili yake haiko fit kabisa!!!! anajifanyia na kujisemea anayoyajua yeye mwenyewe. Tatizo ni kuendelea kubaki madarakani maana sasa hata vichaa watatuongoza.
 
Unatakiwa kuwa na uwezo wa kusoma na kuelewa kilichoandikwa;siyo kutembeza uswahili wala kutanguliza hisia kali. Nimekushauri usome mkakati wa shule. Tatizo lako na watu waaina yako mnajadili pesa badala ya kufahamu na kujadili masuala makuuyanayobeba mjadala (debate).

Kama hujui mkakati wa maendeleo wa asasi husika usijiingizekwenye mjadala kuhusu maendeleo ya asasi hiyo.
Kupata wazo na kubadilisha wazo kuwa bankable project, ku-developplan, kuandaa design ya kutekeleza mpango, kuanzisha asasi yenye malego namajukumu ya kutekeleza shughuli wakilishi ya wazo la awali la maendeleo Fulani (sema shule) siyo jambo la mzaa wala eneo la kila mtu kuweza kufanya, achiliambali kufahamu. Na hili ndilo tatizo la nchi maskini na fursa kwa asasi zakimataifa kama benki ya Dunia, IMF, Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya nakadhalika, kuingilia na kuchagiza mipango ya maendeleo ya nchi maskini, ikiwani pamoja na Tanzania. Hali hii inaitwa poor public policy understanding,design, execution/implementation and analysis of underdeveloped countries.

Kama asasi (shule) husika huzijui usijiingize kwenye mjadala kwa hoja za kufikirika bila rejea ya nadharia au taarifa za tafiti.

Kwanza nataka ufahamu kuwa binafsi sina uhusiano wowote nashule za Tibaijuka zaidi ya watoto wangu kusoma pale na ninalipa karo kiasichote cha Tzs. 4.5m/- kwa kila mtoto. Hivyo I am an impartial, civilised andresponsible citizen nisiyependa uswahili na ubabaishaji katika maendeleo – kuanziangazi ya mtu mmoja, kaya na asasi rasmi (kitaifa, kimataifa, serikali, isiyo yaserikali, biashara au huduma).

Ukiwa mwananchi unayewajibika unajukumu la kushinikizaserikali ya CCM iboreshe shule za umma (walimu, vifaa, miundombinu, usimamizi) ili watoto wako, na pengine waWatanzania wengine wa aina yako, waweze kunufaika na elimu bora badala yakuchukia wadau wa harakati binafsi za kuwekeza kwenye elimu.

Unaweza kumwajibisha Tibaijuka kwa namna yoyote unayowezalakini siyo ku-launch unduly accusations and uninformed arguments.

Kwanza mtu kama wewe unanisikitisha kwa ulimbukeni. Wote wanaosomesha mtoto wa sekondari kwa TZS zaidi ya milioni 2, ni limbukeni. Sina lolote la kukusifu eti unalipia mtoto mil 4.5! Fo which and waht gain?

Hapo ninachoweza kumsifu Tibaijuka ni kuvuna upumbavu wa malimbukeni. Unaweza ukaongeza ada sambamba na ubora wa shule au huduma yoyote, lakini unafika kiwango fulani cha pesa hutaweza tena kuongeza ubora wa huduma hiyo na hilo ndo linalowapata wooote munaolipa mil 4.5 kwa elimu ya sekondari.

Hakuna huduma yoyote ya kimasomo inayoweza kuongezeka kwa ada inayozidi milioni 2 kwa sekondari. analyses zipo kwa mtu aliyeenda shule. Ni sawa na kuniambia umelala hoteli na kulipa milioni 4 kwa siku moja. kwa hakika ukiulizwa kwa upande wa services ulizopata kulingana na thamani ya pesa yako, utaishia kujivuna tu maana hutaweza kusema ulioshwa au kusafishwa uchafu baada ya haja kubwa.

Kwa upande wa maelezo na mikakati uliyoeleza ni kama Tibaijuka anavyojieleza kule twitter which is rubbish. wewe na Tibaijuka munaichukuwa shule kama bussiness. Wapi ktk Dunia hii shule imefanywa kuwa business? Kuna vitu Dunia hii huwezi kujigamba kwa kuvifanya ni biashara. Labda uwe hukwenda shule.
 
Rweyemamu pole. Ninamjua kwa undani na mengine nimeficha. Angalia post yangu hapo juu. Najua inakuuma wahaya utapeli wao kuwa hadharani. Hata mjini Dar si ndiyo wanaongoza kwa misheni tauni?:sad:

Mkuu nimekusoma na sina na na anayeongea kwa facts hata kidogo ila daima nauchukia uongo,hapa kuna watu wanamsema eti anawanyonya watanzania eti kisa babro wanalipa 4m kwa mwaka,mbona ziko shule nyingi tu wanacharge over that ama kwanini hao hawasemwi? na kuchagua mwanao asome hapa ama pale si uamuzi wa mzazi sasa iweje umlaumu na kumkashifu mmiliki kwa hilo? na sipingi ama ni mwizi ama si mwizi ila nahoji mbona akina Lowassa na Chenge,Mkapa n.k lakini hawaongelewi kama huyu wakati nchi hii mfumo wa wizi umeanzishwa na hao ccm,iweje akaziwe macho huyu mama tu kwanini,kuna nini hapa?
 
Ungekuwa umesoma na kuelimika kiasi kinachotakiwa, hakika ungeangavuka juu ya thamani ya elimu; siyo pesa. Wala usingehama mada kuu ya mjadala bila kujitambua. Jitahidi.
 
Unatakiwa kuwa na uwezo wa kusoma na kuelewa kilichoandikwa;siyo kutembeza uswahili wala kutanguliza hisia kali. Nimekushauri usome mkakati wa shule. Tatizo lako na watu waaina yako mnajadili pesa badala ya kufahamu na kujadili masuala makuuyanayobeba mjadala (debate).

Kiongozi wa serikali hatakiwi kupokea kiasi kikubwa cha pesa kwa sababu yoyote ile, iwe msaada au zawadi,KUNA VIWANGO vya mwisho, kama huvijui kasome tena waraka wa tume ya maadili.

Huwezi kupokea $1M kwa sababu yoyote ile ukaitetea. $1M ni faida ambayo mfanyabiashara anaipata kwa kuwa na mapato yasiyopungua $5M. Na ukichangia corporate tax, ya hiyo profit, basi ni zaidi ya hapo.Ni ngumu sana mfanyabiashara anayefanya biashara kihalali kugawa pesa hiyo bila sababu ya msingi.Tena kwa makumi ya watu,kwa kipindi cha siku kadhaa.Sheria za kodi haziruhusu kiwango cha aina hii kulipwa bila ushahidi wa invoice, au mkataba unaoonesha sababu ya kulipwa kiwango hicho cha pesa. Kwa kuwa mwenye benki(Kilaini) alishalainishwa basi ma-teller wanafanya tu transaction kama machizi, BOT nao kwa kuwa wameshapokea maagizo kutoka Juu wanaruhusu tu transaction fraudulent kupita bila sababu ya msingi.Only in TZ mambo ya kipuuzi kama haya yanafanyika.

Kama hujui mkakati wa maendeleo wa asasi husika usijiingizekwenye mjadala kuhusu maendeleo ya asasi hiyo.
Kupata wazo na kubadilisha wazo kuwa bankable project, ku-developplan, kuandaa design ya kutekeleza mpango, kuanzisha asasi yenye malego namajukumu ya kutekeleza shughuli wakilishi ya wazo la awali la maendeleo Fulani (sema shule) siyo jambo la mzaa wala eneo la kila mtu kuweza kufanya, achiliambali kufahamu. Na hili ndilo tatizo la nchi maskini na fursa kwa asasi zakimataifa kama benki ya Dunia, IMF, Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya nakadhalika, kuingilia na kuchagiza mipango ya maendeleo ya nchi maskini, ikiwani pamoja na Tanzania. Hali hii inaitwa poor public policy understanding,design, execution/implementation and analysis of underdeveloped countries.

Unachanganya mambo hapa, wizi/Ufisadi wa Tibaijuka na kazi alizowahi fanya ni mutually exclusive, hazina uhusiano. Mahakama haitazami uliwahi kuwa mtakatifu huko nyuma, zina-angaliwa facts za kosa ulilofanya. Facts zinaonesha tuko na waziri ambaye yuko very well compromised.

Kama asasi (shule) husika huzijui usijiingize kwenye mjadala kwa hoja za kufikirika bila rejea ya nadharia au taarifa za tafiti.

Aliyeiingiza asasi ni Tibaijuka mwenyewe kwa kuweka utetezi wa kishamba kuwa amepokea fedha kwa ajili ya shule, yani anatufanya watanzania ni mabwege sana, muda si mrefu kila mwizi ataanda kutoa sababu kama hizo kutetea wizi wake,hata zile bilioni 73 za standbic tutaambiwa zilienda kujenga makanisa. Kama hiyo ni asasi kama anavyotanabahisha, basi pesa zilitakiwa zipelekwe kwenye account ya shule na si vinginevyo.

Kwanza nataka ufahamu kuwa binafsi sina uhusiano wowote nashule za Tibaijuka zaidi ya watoto wangu kusoma pale na ninalipa karo kiasichote cha Tzs. 4.5m/- kwa kila mtoto. Hivyo I am an impartial, civilised andresponsible citizen nisiyependa uswahili na ubabaishaji katika maendeleo – kuanziangazi ya mtu mmoja, kaya na asasi rasmi (kitaifa, kimataifa, serikali, isiyo yaserikali, biashara au huduma).

Watoto wako wanasoma wapi ni irrelevant, unalipa ada kiasi gani hapo shuleni hakusaidii kwenye kujenga hoja ya kuwa wewe ni civilized and responsible. Hata hao wezi kina chenge wamesomesha watoto wao Redbricks universities, lakini hakuna asiyejua Chenge ni sawa na shetani aliyekosa mbuyu.
Kukweiba mabilioni kuyapeleka kwenye miradi binafsi, sio maendeleo ni uhayawani na ufisadi, ndio maana Africa inaendelea kubaki nyuma, kwa kuwa viongozi ni wabinafsi. Fedha za Escrow, za umeme, za watanzania, hawa washenzi wachache wanagawana kwenye mifuko ya saflet, yani ni waroho hadi wanapindukia. kesho ukiwakuta kwenye mashangingi na suti zao unataka tuwaite civilised?kwa kuwa wamevaa suti?sidhani.

Ukiwa mwananchi unayewajibika unajukumu la kushinikizaserikali ya CCM iboreshe shule za umma (walimu, vifaa, miundombinu, usimamizi) ili watoto wako, na pengine waWatanzania wengine wa aina yako, waweze kunufaika na elimu bora badala yakuchukia wadau wa harakati binafsi za kuwekeza kwenye elimu.

Subjectively viwango vya elimu vimechangiwa kudorora na hawa watendaji wa serikali wenye kumiliki shule binafsi, huu uwekezaji mshenzi kwenye elimu, si kila mtanzania anaufurahia. Hivi unategemea Elimu ibrosheke vipi wakati ili kuipata elimu bora bei yake inaanzia 4.5M?wakati wastani wa pato la mtanzania kwa mwaka ni chini ya $1000?hivi ni vichekesho.
Usibeze watu wasio na uwezo wa kupeleka watoto kwenye private schools,kwani haziwezi kuboresheka kama mawaziri kama tibaijuka wako mstari wa mbele kukwapua kila fedha iliyoko BOT na Hazina kuzipeleka kwenye mambo yao binafsi.

Unaweza kumwajibisha Tibaijuka kwa namna yoyote unayowezalakini siyo ku-launch unduly accusations and uninformed arguments.

Tibaijuka ameshawajibishwa, hivyo sentensi yako haina mashiko. Accusations sio uninformed, kwani timing na coincidence yake ilisababisha parliamentary probe na yeye Tibaijuka amekiri kuandika barua ya kujieleza kwa kamati ya PAC.

Acha kutetea wizi wa mchana kama huu, hakuna hata mtu mmoja aliyekana kupokea fedha za Rugemarila.sababu ziko wazi. it was a payday, all was good UNTIL shit hit the fans
 
Huyu Waziri anatakiwa kufanyiwa uchunguzi zaidi,
Haiwezekani apate msaada wa sh. 1.6billion
Kwa ajili ya shule yake ambayo bado inatoza ada kubwa ajabu.

Kutokana na nafasi aliyonayo huyu waziri, hasa kwenye maswala ya ardhi inalazimika uchunguzi zaidi ufanyike juu yake,
Kuna uwezekano kamega pande la ardhi ya nchi yetu tayari..
Kiongozi naunga mkono hoja,huyu mama ameshajidhihirisha ni bonge la mpigaji na hiyo miradi ya Kigamboni aliyopewa hakika yapaswa mikataba yote aliyoshughulika nayo ipelekwe kwenye kamati za Bunge ijadiliwe.Nakumbuka Mbunge wa Kawe Mdee alishasema watu wakamuona kwa vile ni kauli ya kutoka upinzani zitakuwa ni siasa sasa lishavunda hili kila kitu kinaonekana.Huu mbibi umeshindwa kupiga UN kwa kuwa alikuwa anafanya kazi na watu serious ukaweza kujizolea sifa eti nao Msafiiii....Sasa umewekwa katika system ya wapigaji naye anajipopolea hata haya hauna.

Hakika Tanzania inasafari ndefu sana kufikia hiyo nchi ya ahadi kama kila kiongozi tunayempa dhamana ya kutufikisha huko tukiamini ni msafi anatumia imani yetu juu yake kujipigia. Eti mchango kwa ajiri ya shule ya watoto maskini.....4.5M ada shule ya maskini??????...Nasema ipo siku na Ole wenu...maana tuko na nyinyi mitaani,ajira mnatoa kwa watoto wenu mnaowapeleka kusoma njee kwa pesa ya kutupiga,nyinyi wenyewe mnatupiga,Ada za vyuo kutukopesha mzozo,bado shule yako ya maskini ada 4.5m inajipigia hela za wakulima wa nyanya na korosho....Inauma sana mbibi wa miaka yote hiyo Nchi yako imekuamini lakini bado ukaendekeza tamaa....Acha siasa nenda kafanye biashara zako halali basi ili uingie kwenye forbes magazine maana labda ndio dream zenu lakini sio kwa njia hii uliyochagua maana yakubidi ujiandae na mwisho wa aibu tele.
 
Kiongozi wa serikali hatakiwi kupokea kiasi kikubwa cha pesa kwa sababu yoyote ile, iwe msaada au zawadi,KUNA VIWANGO vya mwisho, kama huvijui kasome tena waraka wa tume ya maadili.

Huwezi kupokea $1M kwa sababu yoyote ile ukaitetea. $1M ni faida ambayo mfanyabiashara anaipata kwa kuwa na mapato yasiyopungua $5M. Na ukichangia corporate tax, ya hiyo profit, basi ni zaidi ya hapo.Ni ngumu sana mfanyabiashara anayefanya biashara kihalali kugawa pesa hiyo bila sababu ya msingi.Tena kwa makumi ya watu,kwa kipindi cha siku kadhaa.Sheria za kodi haziruhusu kiwango cha aina hii kulipwa bila ushahidi wa invoice, au mkataba unaoonesha sababu ya kulipwa kiwango hicho cha pesa. Kwa kuwa mwenye benki(Kilaini) alishalainishwa basi ma-teller wanafanya tu transaction kama machizi, BOT nao kwa kuwa wameshapokea maagizo kutoka Juu wanaruhusu tu transaction fraudulent kupita bila sababu ya msingi.Only in TZ mambo ya kipuuzi kama haya yanafanyika.

Unachanganya mambo hapa, wizi/Ufisadi wa Tibaijuka na kazi alizowahi fanya ni mutually exclusive, hazina uhusiano. Mahakama haitazami uliwahi kuwa mtakatifu huko nyuma, zina-angaliwa facts za kosa ulilofanya. Facts zinaonesha tuko na waziri ambaye yuko very well compromised.

Aliyeiingiza asasi ni Tibaijuka mwenyewe kwa kuweka utetezi wa kishamba kuwa amepokea fedha kwa ajili ya shule, yani anatufanya watanzania ni mabwege sana, muda si mrefu kila mwizi ataanda kutoa sababu kama hizo kutetea wizi wake,hata zile bilioni 73 za standbic tutaambiwa zilienda kujenga makanisa. Kama hiyo ni asasi kama anavyotanabahisha, basi pesa zilitakiwa zipelekwe kwenye account ya shule na si vinginevyo.

Watoto wako wanasoma wapi ni irrelevant, unalipa ada kiasi gani hapo shuleni hakusaidii kwenye kujenga hoja ya kuwa wewe ni civilized and responsible. Hata hao wezi kina chenge wamesomesha watoto wao Redbricks universities, lakini hakuna asiyejua Chenge ni sawa na shetani aliyekosa mbuyu.
Kukweiba mabilioni kuyapeleka kwenye miradi binafsi, sio maendeleo ni uhayawani na ufisadi, ndio maana Africa inaendelea kubaki nyuma, kwa kuwa viongozi ni wabinafsi. Fedha za Escrow, za umeme, za watanzania, hawa washenzi wachache wanagawana kwenye mifuko ya saflet, yani ni waroho hadi wanapindukia. kesho ukiwakuta kwenye mashangingi na suti zao unataka tuwaite civilised?kwa kuwa wamevaa suti?sidhani.

Subjectively viwango vya elimu vimechangiwa kudorora na hawa watendaji wa serikali wenye kumiliki shule binafsi, huu uwekezaji mshenzi kwenye elimu, si kila mtanzania anaufurahia. Hivi unategemea Elimu ibrosheke vipi wakati ili kuipata elimu bora bei yake inaanzia 4.5M?wakati wastani wa pato la mtanzania kwa mwaka ni chini ya $1000?hivi ni vichekesho.
Usibeze watu wasio na uwezo wa kupeleka watoto kwenye private schools,kwani haziwezi kuboresheka kama mawaziri kama tibaijuka wako mstari wa mbele kukwapua kila fedha iliyoko BOT na Hazina kuzipeleka kwenye mambo yao binafsi.

Tibaijuka ameshawajibishwa, hivyo sentensi yako haina mashiko. Accusations sio uninformed, kwani timing na coincidence yake ilisababisha parliamentary probe na yeye Tibaijuka amekiri kuandika barua ya kujieleza kwa kamati ya PAC.

Acha kutetea wizi wa mchana kama huu, hakuna hata mtu mmoja aliyekana kupokea fedha za Rugemarila.sababu ziko wazi. it was a payday, all was good UNTIL shit hit the fans

A generation lost; pity.
 
Rweyemamu pole. Ninamjua kwa undani na mengine nimeficha. Angalia post yangu hapo juu. Najua inakuuma wahaya utapeli wao kuwa hadharani. Hata mjini Dar si ndiyo wanaongoza kwa misheni tauni?:sad:

Hili kabila langu kwa deal ni balaa aise!
 
Tusifurahi kusikia kuwa watu fulani wameachia ngazi. Hilo tu halitoshi! Sasa tunataka kuona part II. Pesa zote zinarudishwa na watu wanafikishwa mahakamani.
 
Mkuu nimekusoma na sina na na anayeongea kwa facts hata kidogo ila daima nauchukia uongo,hapa kuna watu wanamsema eti anawanyonya watanzania eti kisa babro wanalipa 4m kwa mwaka,mbona ziko shule nyingi tu wanacharge over that ama kwanini hao hawasemwi? na kuchagua mwanao asome hapa ama pale si uamuzi wa mzazi sasa iweje umlaumu na kumkashifu mmiliki kwa hilo? na sipingi ama ni mwizi ama si mwizi ila nahoji mbona akina Lowassa na Chenge,Mkapa n.k lakini hawaongelewi kama huyu wakati nchi hii mfumo wa wizi umeanzishwa na hao ccm,iweje akaziwe macho huyu mama tu kwanini,kuna nini hapa?

Hakuna mtu anayeweza kuwa na chuki binafsi na mtu asiyemjua,unajitahidi sana kujaribu kumtetea huyu mbibi lakini hautoweza kumsafisha....huyu bibi yako ni mpigaji kama wapigaji wengine walio kwenye system,na issue sio swala la babro galz kutoza Ada ya 4m,kwani watu wamekubali kumlipa na halikuwa kwenye media,kwa nini sasa ujiulizi why now????...issue ni kwamba kila mtu alikuwa anaamini kuwa huyu bibi yako ni mtu safi na anaweza kusaidia Watz ambao tumechoka na viongozi wapigaji kwa bahati mbaya mbibi umetudisappoint ile mbaya maana alichokifanya hakutokuwa na uwezekano wowote wa kujisafisha kwani ni senior leader wa serikali,anajua maadili ya viongozi wa Uma,kupokea 1.6Bilions eti msaada binafsi......Ptuuuuu shame on her and shame on you unayejaribu kumsafisha bibi yako....Angepiga nao picha basi kabla deal halijabumbuluka sio anasubiri maji yako shingoni ndio anasema kakamata gawio lake pumbavuuu.......
Nikifikilia trust iliyokuwepo juu yake wakati anatoka UN naumia sana na ardhi yetu ya Kigamboni....Nenda mwambie bibi yako raia hawana chuki na yeye kama Tibaijuka ila wanahasira baada ya kugundua nayeye ni mmoja wa wanafamilia wa ukoo wa panya...Mpigaji asiye na huruma.
 
Ungekuwa umesoma na kuelimika kiasi kinachotakiwa, hakika ungeangavuka juu ya thamani ya elimu; siyo pesa. Wala usingehama mada kuu ya mjadala bila kujitambua. Jitahidi.

Totally cheated poor mind. Soma vizuri msg yangu then utaelewa shule na uelewa ninao. Watu wapuuzi kama Tibaijuka wanawachochea watu eti elimu ni gharama usijali pesa. Yes ni gharam to which extent? Hako ka profesa ni katapeli tu!

nakuona ni mtu unayependa maringo bila hata kuulizwa unatutajia ada unayolipa ukidhani ni sifa kumbe wengine tunaona ni upuuzi tu.
 
Back
Top Bottom