kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,489
- 18,370
Huyu Waziri anatakiwa kufanyiwa uchunguzi zaidi,
Haiwezekani apate msaada wa sh. 1.6billion
Kwa ajili ya shule yake ambayo bado inatoza ada kubwa ajabu.
Kutokana na nafasi aliyonayo huyu waziri, hasa kwenye maswala ya ardhi inalazimika uchunguzi zaidi ufanyike juu yake,
Kuna uwezekano kamega pande la ardhi ya nchi yetu tayari..