Achunguzwe nini wakati ameshakiri kupokea hiyo 1.6 billion kwa kaka yake jr. Kutuambia alikua amemwomba kwa ajili ya shule yake ni utoto huo..Huyu mama ni profesa kweli? Kwa nafasi aliyonayo ya uwaziri anabidi ang'atuke then uchunguzi uendelee...ni ujinga sana kuwaacha hawa watu kwenye system,wasaka tonge...
Maswali ya kawaida:kama ilikua ni hela ya shule iweje imeingizwa kwa personal account yake na siyo ya shule..pili,kama ilikua ni ya shule mbona alitoa cash hata kabla board ya shule kukaa?
Huyu mama ni mwizi sana...inaniuma sana sisi kama wananchi bado tunasikiliza wezi kujitetea na kutoa maazimio ya bunge...
Leo nimeshuhudia matumizi mabaya ya fedha za Umma,Waziri huyo ametua hapa airport kwa ndege ya serikali,Li-Ndege nzima alikuwa yeye na mpiga picha.Hivi huko alikotoka hakuona watu wa kuja bk? na kwa nini hivi lakini?
Nasikia anakuja kwa issue ya vifo vya watoto 23 katika jimbo lake vilivyotokana na malaria.
Msome Prof hapa:https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...tua-kwa-ndege-bukoba-nikiwa-peke-yangu-7.html
Eti anasaidia watoto maskini.ada 4.5m!bibi roho mbaya sura mbaya
Eti anasaidia watoto maskini.ada 4.5m!bibi roho mbaya sura mbaya
Chuki binafsh zinawasumbua na hamtoweza mpaka Mungu siku akiamu vinginevyo mtapiga sana kelele,sitetei chochote ila kumtolea peke yake macho wakati akina Mkapa wamepiga pesa wako ikulu ofisi ya juu kuliko zote na bado hakuna anayebweka ni upuuzi wa hali ya juu na kama ujinga ungekuwa na madaraja ningeweza kusema mna Phd za ujinga
Hiyo list ina majina mengi tu akiwemo Chenge au chenge na wengine ni sawa ila kw mama Tiba ndo tatizo?