Anna Plus Salma

Kichankuli

JF-Expert Member
Dec 18, 2008
887
189
Katika awamu ya tatu ya utawala wa Tanzania chini ya Rais Benjamin Willium Mkapa, mkewa, Anna, alikuja na dhana (Taasisi) ya kuwaletea maendeleo wanawake aliyoiita Fursa Sawa kwa Wote. Baada ya kuingia awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, mkewe naye, Salma, amekuja na dhana (Taasisi) iitwajo Wanawake na Maendeleo (WAMA). Sina kumbukumbu kama Wake za Marais wa awamu ya kwanza na ya pili nao walianzisha Taasisi za aina hiyo. Je wadau hii inaashiria nini katika awamu hizi mbili na zinazokuja?
 
mie sioni umuhimu wowote wa hizo taasisi, zaidi ni hao wake wa rais kujirimbikia mapesa tu.Hiyo WAMA inasaidiaje wanawake walio ktkt ufukara ambao hawajui hata watakula nn kwa siku? Kwanza kwenye hivyo vyama vyao utakuta wanachama ni wake wa vigogo tu. ZHivyo vyama navyo ni ufisadi tuuuuuuuu!
 
Back
Top Bottom