Anna Mgwira: CCM huchagua mtu watakayeweza kumwongoza

Anna Mgwira: CCM huchagua mtu watakayeweza kumwongoza

Potelea Mbali

Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
46
Reaction score
5
Katika taarifa ya habari ITV Anna amedai kuwa CCM imeleta mtu dhaifu ambaye wataweza kumwongoza.

Amedai Kikwete amemaliza muda wake anyamaze tu.

Wewe unaonaje hili?
 
Katika taarifa ya habari ITV Ana amedai kuwa Ccm imeleta mtu dhaifu ambaye wataweza kumwongoza.
Amedai KIKWETE amemaliza muda wake anyamaze tu.
Wewe unaonaje hili???

Huyu mama ni kichwa kuliko hata Zitto, Zitto hawezi kutamka maneno hayo, coz Zitto alipewa kazi ya kusambaratisha Upinzani, Lakini nikimfuatilia huyu mama, naona atakijenga sana chama cha ACT kwa sababu anaonekana kweli ni mpinzani Harisi. mama piga kazi Ukiona unaletewa Longolongo, Tutakuribisha Ndani ya Ukawa
 
Kiufupi Huyu Mama anamtaka Lowasa maana ndie pekee mwenye maamuzi magumu
 
kwa lugha fupi wanapenda kuweka makaragosi,huku zanzibar ndio matupu hayo
 
Katika taarifa ya habari ITV Ana amedai kuwa Ccm imeleta mtu dhaifu ambaye wataweza kumwongoza.
Amedai KIKWETE amemaliza muda wake anyamaze tu.
Wewe unaonaje hili???
Kama ACT imetuletea mama ambaye hatasikia chama chake basi ni hatari.huyu mama jeuri
 
Huyu mama mropokaji.ILANI YA ACT
HAIFANYI ACT MCHEPUKO WA CHADEMA
 
Huyu mama ni mzuri sana. Naamini anataka Lowassa ashinde. One day alidai kuwa Watu wanapaswa waache kupigia kura CCM kama hawataki kupigia kura ACT baai wachague chama kingine cha Upinzani ila siyo CCM.
Msingi wa utawala wa Tzania ni CCM. Magufuli hawezi kuleta jipya kwa sababu msingi bado ni uleule.
Huwezi kujenga ghorofa kwa msingi wa nyumba ya kawaida. CCM haiwezi kubadilishwa na Magufuli hata siku moja. Sharti tufumue msingi then tuinue nyumba yetu Tqnzania
 
Katika taarifa ya habari ITV Ana amedai kuwa Ccm imeleta mtu dhaifu ambaye wataweza kumwongoza.
Amedai KIKWETE amemaliza muda wake anyamaze tu.
Wewe unaonaje hili???

ACT wazalendo ni bonge la chama,nazidi kupata wasiwasi na dhamira ya mbowe kuwakataza kuingia UKAWA.
 
Mghwira.

Amesema kwa miaka 50 hakuna anayefahamu kodi za nchi zimefanyiwa nini, zaidi ya kusikia sifa za ujenzi wa mabarabara, madaraja ambayo pembeni kuna mabango makubwa yakieleza kuwa zimejengwa kwa msaada wa Wamarekani na Wachina.

Amefafanua kuwa CCM imesimamisha mgombea dhaifu ambaye anashangaa kila kitu huku akiwa ndani ya Serikali hiyo anayoishangaa kwa kushindwa kutimiza wajibu wake.
 
Magufili leo anashangaa shida ya maji Dar?
 
Back
Top Bottom