Bado hajasema sharia inaruhusu vp kulinda kura halaf wakala kazi yake nn pale ndani
Mi nataka nielewe faida na hasara zake halaf nijue wakala kazi yake nn,,,
Bado hajasema sharia inaruhusu vp kulinda kura halaf wakala kazi yake nn pale ndani
Hivi ni mita 100 au 200? Sasa mita 200 unalinda nini?
jeshi la police ndio lenye dhima ya kulinda watu na mali zao sasa nyinyi hiyo kazi ya ulinzi kawapa nani?
Mkuu unaweza kuwa sahihi kuhusiana na kuporwa kwa kura za vyama vidogo. Hata hivyo kwa kuongezea tu ni kwamba huyu mama wa ACT yuko vizuri sana. Anaongea mambo ya msingi sana kwenye kampeni zake na anajitahidi sana kuweka mbele maslahi ya Taifa na sio u-vyama kama wengine kwenye chama chake na vyama vingine kama TLP n.k. Huyu mama ni mfano wa kuigwa.
Huyu mama ni mjuzi hasa wa siasa kwakuwa hashirikishi nyongo kwenye kufikiri-haendani kwa kiwango kikubwa na waliomzunguka
Akiwa mkutanoni Singida amedai kuwa sheria inaruhusu na Rais anataka kutufanya nini tukisubiria matokeo?
Rais aitishe mkutano wa wenyeviti kujadili swala hilo.
My take; unaweza ukashangaa kwanini aseme hivyo, ukweli ni kwamba vyama vidogo huumizwa zaidi-inapotokea mwanya wa wizi wa kura kura za chama kidogo zitachotwa na kujazilizia chama kikubwa hivyo ni jambo zuri kwa ACT kupambana sambamba na UKAWA na wasijiweke mbali wataumizwa zaidi kwenye ubunge na udiwani hata Urais.
polise jamii au walinzi shirikishi usajiliwa na serikali za mitaa nanyi nendeni mkajisajili kwa kazi hyo.lakin haiwezekan watu wote waliojiandikisha kupiga kura zaidi ya milioni 22 nusu ya watanzania wawe walinzi hiyo ni fujo na haijwahi kutokea kokote duniani
Sio vizuri kuongea wakati wa kula, unataka apaliwe.?Anna Mghwira ana maoni gani leo kuhusu mita mia mbili?