Elections 2015 Anna Mghwira: Sheria inaruhusu kusubiria matokeo mita mia mbili nje ya kituo

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,832
7,484
Akiwa mkutanoni Singida amedai kuwa sheria inaruhusu na Rais anataka kutufanya nini tukisubiria matokeo?

Rais aitishe mkutano wa wenyeviti kujadili swala hilo.

My take; unaweza ukashangaa kwanini aseme hivyo, ukweli ni kwamba vyama vidogo huumizwa zaidi-inapotokea mwanya wa wizi wa kura kura za chama kidogo zitachotwa na kujazilizia chama kikubwa hivyo ni jambo zuri kwa ACT kupambana sambamba na UKAWA na wasijiweke mbali wataumizwa zaidi kwenye ubunge na udiwani hata Urais.
 
Mkuu unaweza kuwa sahihi kuhusiana na kuporwa kwa kura za vyama vidogo. Hata hivyo kwa kuongezea tu ni kwamba huyu mama wa ACT yuko vizuri sana. Anaongea mambo ya msingi sana kwenye kampeni zake na anajitahidi sana kuweka mbele maslahi ya Taifa na sio u-vyama kama wengine kwenye chama chake na vyama vingine kama TLP n.k. Huyu mama ni mfano wa kuigwa.
 
Soon ataanza kujadiliwa Zitto hapa!Ngoja Tusubiri
 
Last edited by a moderator:
Bado hajasema sharia inaruhusu vp kulinda kura halaf wakala kazi yake nn pale ndani

kwani sheria si inasema wakae meta 100? mnawalazimisha waende nyumbani kwa maslahi ya nani? mawakala waliopo ndani wanalinda kura zilizopigwa wakati raia wanaokaa meta 100 wanalinda CCM wasiingize masanduku feki ya kura. umeelewa sasa? ndio maana wanawataka watu wanaolinda kura waende nyumbani ili waingize masanduku feki. hatukubali kuwaachia CCM wachakachue kura.
 
Uchaguzi ujao utasikia kilomita 1.
Uchaguzi uliopita tulisubiri mita 100.
 
jeshi la police ndio lenye dhima ya kulinda watu na mali zao sasa nyinyi hiyo kazi ya ulinzi kawapa nani?
 
Inaposemwa dhana ya ulinzi shirikishi na polisi jamii huwa maana yake ni ipi??? Au kwny kura hii haingii acheni kuwa na double standards!!
 
polise jamii au walinzi shirikishi usajiliwa na serikali za mitaa nanyi nendeni mkajisajili kwa kazi hyo.lakin haiwezekan watu wote waliojiandikisha kupiga kura zaidi ya milioni 22 nusu ya watanzania wawe walinzi hiyo ni fujo na haijwahi kutokea kokote duniani
 
Mkuu unaweza kuwa sahihi kuhusiana na kuporwa kwa kura za vyama vidogo. Hata hivyo kwa kuongezea tu ni kwamba huyu mama wa ACT yuko vizuri sana. Anaongea mambo ya msingi sana kwenye kampeni zake na anajitahidi sana kuweka mbele maslahi ya Taifa na sio u-vyama kama wengine kwenye chama chake na vyama vingine kama TLP n.k. Huyu mama ni mfano wa kuigwa.

Huyu mama ni mjuzi hasa wa siasa kwakuwa hashirikishi nyongo kwenye kufikiri-haendani kwa kiwango kikubwa na waliomzunguka
 
Akiwa mkutanoni Singida amedai kuwa sheria inaruhusu na Rais anataka kutufanya nini tukisubiria matokeo?

Rais aitishe mkutano wa wenyeviti kujadili swala hilo.

My take; unaweza ukashangaa kwanini aseme hivyo, ukweli ni kwamba vyama vidogo huumizwa zaidi-inapotokea mwanya wa wizi wa kura kura za chama kidogo zitachotwa na kujazilizia chama kikubwa hivyo ni jambo zuri kwa ACT kupambana sambamba na UKAWA na wasijiweke mbali wataumizwa zaidi kwenye ubunge na udiwani hata Urais.

Matokeo si yanabandikwa vituoni-kwa hiyo baada ya hapo watu wanakaa umbali wa mita ngapi?Haieleweki kiviile Mita 200 ni sawa na viwanja viwili vya mpira -hata mita 50 tu mbali ............
 
polise jamii au walinzi shirikishi usajiliwa na serikali za mitaa nanyi nendeni mkajisajili kwa kazi hyo.lakin haiwezekan watu wote waliojiandikisha kupiga kura zaidi ya milioni 22 nusu ya watanzania wawe walinzi hiyo ni fujo na haijwahi kutokea kokote duniani

Kwa hiyo unamaanisha kura 22mil zote kwa ukawa maana wao ndio wanahimiza watu wabaki 200m kutoka kwenye kituo
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom