Hilo ni swali au mada? Kama ni mada unataka tuchangie kuhusu nn maana kama suala la kuwa na watoto au kuolewa hamuwezi kumjadili mtu humu hz ni haki zake na chaguo lake ktk maisha yake. Ila kama ni swali bs linalenga katika kujua nn zaidi ya alivyo?. Ninavyofahamu mm hy siyo mada haina miguu wala kichwa. Lakini pia hata kama hana watoto bs watoto wake ni cc kwani ni spika wa bunge letu la jamhuri ya muungano wa Tanzania.