Anna Makinda alimaanisha nini kutamka hii kauli? .

Anna Makinda alimaanisha nini kutamka hii kauli? .

Status
Not open for further replies.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,309
Reaction score
15,294
Kama kawaida yake kubwa lao, yaani Mamaa wa Bunge katika mkutano wa mwisho leo Jumapili alisikika akitamka hii kauli.

"Wanawake Wengi wamekuwa hawafiki kileleni ila hawamu hizi mbili za Kikwete, wengi wamekuwa wakifika kileleni "

Hebu nisaidie wewe umeielewaje......?
😂😂😂😂😂😂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom