Don't confuse, wale waliongozwa na CHADEMA. Hapa hamna kitu wataitwa faragha na mambo yataishia hapo!Walimsulubisha Lowasa hatasahau
Wabunge Anna Kilango na Christopher Ole Sendeka wamejipambanua dhahiri kwamba wataongoza wabunge kuishinikiza Serikali kuwachukulia hatua wote waliotajwa ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 iliyowasilishwa bungeni wiki hii.
Tunatambua uwezo wa Kilango na Sendeka hasa rekodi mziweka kwenye Bunge la Mzee Sitta na Mama Makinda ambapo mawaziri waliokuwa wanakumbwa na kashfa mlihakikisha wanafutwa kazi wote.
Sasa muwasaidia wabunge wapya akina Sanga, Tabasamu, Babu Tale, Gambo, Mnyeti, Mariam Ditopile, Venant ili muunganishe nguvu Bunge hili la Bajeti muhakikishe mawaziri wote waliotajwa wanaondoka ofisini na kuwafikisha mahakamani.
Watu hatari sanaWalimsulubisha Lowasa hatasahau
Bila hata kupenyeza rupia hakuna mbunge yoyote anayeweza kumsimanga mwezi mwenzao. HAKUNA KITU HAPOBunge hili rubber stamp wakipenyezewa tu rupiah wanapoteana na kuzikataa kauli zao na misimamo yao
Ole Sendeka na Anna wanaweza namkumbuka Anna mwaka 2008 alipokaba penalt ya MonduliWabunge Anna Kilango na Christopher Ole Sendeka wamejipambanua dhahiri kwamba wataongoza wabunge kuishinikiza Serikali kuwachukulia hatua wote waliotajwa ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 iliyowasilishwa bungeni wiki hii.
Don't confuse, wale waliongozwa na CHADEMA. Hapa hamna kitu wataitwa faragha na mambo yataishia hapo!
Wasijepenyezewa ngawira wakaacha kutembea kwenye maneno yao
Serikali ni pamoja na raisi kwa nin washinikize kwani saa 100 haoni yeye mpaka ashinikizwwWabunge Anna Kilango na Christopher Ole Sendeka wamejipambanua dhahiri kwamba wataongoza wabunge kuishinikiza Serikali kuwachukulia hatua wote waliotajwa ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 iliyowasilishwa bungeni wiki hii.
Tunatambua uwezo wa Kilango na Sendeka hasa rekodi mziweka kwenye Bunge la Mzee Sitta na Mama Makinda ambapo mawaziri waliokuwa wanakumbwa na kashfa mlihakikisha wanafutwa kazi wote.
Sasa muwasaidia wabunge wapya akina Sanga, Tabasamu, Babu Tale, Gambo, Mnyeti, Mariam Ditopile, Venant ili muunganishe nguvu Bunge hili la Bajeti muhakikishe mawaziri wote waliotajwa wanaondoka ofisini na kuwafikisha mahakamani.
Weka kigingi niweke ugokoWabunge Anna Kilango na Christopher Ole Sendeka wamejipambanua dhahiri kwamba wataongoza wabunge kuishinikiza Serikali kuwachukulia hatua wote waliotajwa ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 iliyowasilishwa bungeni wiki hii.