Anna Kilango alipwa fadhila kwa kumuokoa Pinda na ESCROW

AH AH.. LE MUTUZ SIJUI ANATAKA KUWEUKA. KILA SIKU NAMUONA MITAA YA POSTA MPAA MARA ATOKEE UKU SANAM YA ASKARI MARA ARUDI VILE UKU AKIONGEA PEKE YAKE KASHIKILIA LESSO IMELLOA PEEE MIJASHO.
KM ANA MAWAZO IVI.. MSHAURINI WAPAMBE WAKE ATAWEUKa UYU..

Labda yuko kwenye program ya kupunguza weight.
 
Asumpta Mshama kalipwa fadhila gani?

Daudi Mchambuzi;
Asumpta kaanza juzi kati hapa. Anna kaanzia mbali sana. Si unakumbuka alivyokuwa anatishia kuwa hapatosi, hapachimbiki la la lalaaaa?
Kelele ya mbunge huzimwa na ka uwaziri. Hata ka nafasi huiwezi. Utajulia huko huko. Mbona wale mizigo walibaki??
 
Bila shaka mtakubaliana na mimi kuwa uteuzi uliofanywa jana wa mawaziri haukuzingatia uwezo wa mtu bali ni mchango gani mtu alitoa ktk kuiokoa serikali ktk sakata la escrow,mfano Anna Kilango kumuokoa Pinda.

Pia inawezekana ni katika kumsaidia mzee Sigweyimisi inaonesha kama afya yake inayumba hivyo mkuu ametafuta njia ya kumpa msaada bila kuzalisha Escrow nyingine
 
Hata Simbachawene kapewa tu maana naye amejitahidi sana kutetea mahesabu hasa ya bomba la gesi
 
Inakubalika, angalau tumiezi kadhaa atakulakula kidogo, kazi aliyoifanya bunge lililopita si mchezo
 
Pia alikua peke yake mbunge wa escrow toka Kilimanjaro kutopewa shavu la uwaziri au unaibu. Wenzake wote JK aliwakumbuka
 
Back
Top Bottom