Anna Kilango achafua hali ya hewa kamati ya Miundombinu

huyu mama bana ..anyway nisije kupewa ban bure hapa ..maana ni mama na mkubwa fukani humu JF
 
Mama Kilango si mtu wa maana sana linapokuja swala la uongozi bora, lakini kwa hakika Serukamba ana matatizo makubwa. Hadi sasa sijaelewa wenyeviti wa hizi kamati za bunge wanapatikana kwa kutumia vigezo gani? Serukamba ndiye alikuwa mpiga debe mkubwa kwa TPA ili wale watoa rushwa wa kimataifa CCCC wapewe kazi ya kujenga gati kwa 'usanii' wa mkopo nafuu toka EXIM BANK- China.

Pia Serukamba kama mwenyekiti wa kamati ya miundo mbinu ambayo inahusika pia na sekta ya mawasiliano sijamsikia akisema chochote kuhusu Vodacom ukwepaji wa kodi. Na hapa ndipo madai ya Mama Kilango yanaweza kutupa hisia kuwa Serukamba anasimamia maslahi ya watu fulani fulani.

Lakini kubwa kwangu ninaloona ni kuyumba kwa maadili kwa hizi kamati za bunge. Mbunge wa Bahi (CCM) ana kesi mahakamani, yuko mwenyekiti mwingine amepelekwa Japan na TBS ili awasafishe wakubwa wa TBS! Na week hii tunaambiwa ndugu Chenge kapata uenyekiti wa kamati ya fedha! Chenge alilazimika kujiuzulu kwa sababu wakubwa wake na wananchi pia walikosa 'confidence' kwamba ni mtu safi. Sasa waliomchagua wanapingana na wananchi?

Kwa kifupi, CCM wameonesha ujasiri wa hali ya juu wa kuziba masikio na kufumba macho. Wanakwenda kinyume na matakwa ya wananchi ambao ndio wenye mamlaka ya mwisho nchi hii. CCM wamepata wapi hiki kiburi?
Mkuu, umaskini, ujinga, rushwa na ufisadi ndio siraha kuu za CCM. Siumesikia kauri za akina Nape?
 
mwisho wa dahari ndio sasa! TUKO nyikani,tunataka kwenda zetu nyumbani,tuna gari lenye dereva ,kondo na ajents bora kabisa,chombo chetu ni kipya maana kile cha zamani kimechakaa mpaka basi,hata mali tulizokua nazo zimepotea lol! safari ilikua ngumu kwa ile bus ccm!
 
alishasema patachimbika!!!!

anne-kilango-nae-akichamgia-suala-la-mafuta.jpg

familia hii mwisho wa utawala wao ni 2015 inabidi ajiandae kustaafu vizuri na mzee, kijana alijitahidi kuwarithi kisiasa lakini ameishia kuwa mtu asiepevuka kisiasa!
 
Kamati ya Miundo mbinu jana ilikumbwa na tafrani baada ya wajumbe wake kudaiwa kumshambulia kwa maneno makamu mwenyekiti wa kamati hiyo Anne Kilango wakidai amewasiliti.

Kwa mujibu wa taarifa ni kwamaba anna kilango alipeleka majungu kwa waandishi wa habari wa magazeti mawili kuwa serukamba ameagiza wasuse bajeti na kibaya zaidi alimpigia simu waziri mkuu saa 5 usiku akisema serukamaba mi mtu mbaya sana.

Alisema serukamba anatumiwa na Lowasa amezuiya tusipitishe bajaeti.

Taarifa zinabainisha zaidi kuwa wajumbe hao hawakufurahishwa na kitendo cha kilanago na kuanza kumshutumu kuwa mchochezi .

Chanzo: Habari leo tarehe 5/6/12

Dah Mama yake mtu huyo...

Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
 
Mshahara wa dhambi ni mauti
 
ccm naona hata vipande vipande vinaenda kuwa unga maana nia ajabu wanapigana wao kwa wao ina maana hawaaminiani hata kwenye kamati unategemea watajenga chama hii inakula kwao maana siku za nyuma walikuwa wanafanya usanii leo hii tanzania sio ya 1964 ni ya wasomi na watu makini wanajua nini kinafanyika na nani mwenye matatizo
 
Kamati ya Miundo mbinu jana ilikumbwa na tafrani baada ya wajumbe wake kudaiwa kumshambulia kwa maneno makamu mwenyekiti wa kamati hiyo Anne Kilango wakidai amewasiliti.

Kwa mujibu wa taarifa ni kwamaba anna kilango alipeleka majungu kwa waandishi wa habari wa magazeti mawili kuwa serukamba ameagiza wasuse bajeti na kibaya zaidi alimpigia simu waziri mkuu saa 5 usiku akisema serukamaba mi mtu mbaya sana.

Alisema serukamba anatumiwa na Lowasa amezuiya tusipitishe bajaeti.

Taarifa zinabainisha zaidi kuwa wajumbe hao hawakufurahishwa na kitendo cha kilanago na kuanza kumshutumu kuwa mchochezi .

Chanzo: Habari leo tarehe 5/6/12
Huyo mama mikorogo naye anafikiri atapewa uwaziri?akae kando kwanza tuchoka kusikia habari zake zisizo na mashiko,maneno mengi naufisadi mwingi
 
Kamati ya Miundo mbinu jana ilikumbwa na tafrani baada ya wajumbe wake kudaiwa kumshambulia kwa maneno makamu mwenyekiti wa kamati hiyo Anne Kilango wakidai amewasiliti.

Kwa mujibu wa taarifa ni kwamaba anna kilango alipeleka majungu kwa waandishi wa habari wa magazeti mawili kuwa serukamba ameagiza wasuse bajeti na kibaya zaidi alimpigia simu waziri mkuu saa 5 usiku akisema serukamaba mi mtu mbaya sana.

Alisema serukamba anatumiwa na Lowasa amezuiya tusipitishe bajaeti.

Taarifa zinabainisha zaidi kuwa wajumbe hao hawakufurahishwa na kitendo cha kilanago na kuanza kumshutumu kuwa mchochezi .

Chanzo: Habari leo tarehe 5/6/12

Debe shinda haliachi kutika.
 
familia hii mwisho wa utawala wao ni 2015 inabidi ajiandae kustaafu vizuri na mzee, kijana alijitahidi kuwarithi kisiasa lakini ameishia kuwa mtu asiepevuka kisiasa!

Daaah humu ndani hata ukiingia umenuna utaishia kucheka tu!
 
Kuna chama kimeibuka hakina katiba, viongozi wala wanachama ila naamini kikiendelea ndo kitaibadili Tanzania kuwa nchi ya mabadiliko. Chama hiki kisichoonekana naweza kiita FITINA ALLIANCE PARTY kinawezesha wezi wetu wote kuumbuana then tunawajua na wanabanwa. Mpaka wezi wote wataisha. Huenda Mungu ndo anakisimamia chama hiki. MUNGU ibaliki Tanzania. So kuumbuana kudumu.
 
familia hii mwisho wa utawala wao ni 2015 inabidi ajiandae kustaafu vizuri na mzee, kijana alijitahidi kuwarithi kisiasa lakini ameishia kuwa mtu asiepevuka kisiasa!

Na amekula BAN hapa ndio maana pametulia kidogo......
 
Hivi hizi kamati kweli zitzfanya kazi mwaka huu? Hiyo ya LAAC ndio hivyo mwenzao kakamatwa akiwachukulia advance ili wapitishe mahesabu ya Mkuranga, Miundo mbinu nao wameanza kufanyiana majungu
wananchi tutegemee lolote kwa kwa aina hiyo ya wabunge?

sawa walimtuma kuwachukulia advance halfu wanamruka. Awaumbue kortini
 
Back
Top Bottom