Anjela Chibalonza

Anjela Chibalonza

Kweli Angela Chibalonza alikuwa na upako wa kipekee... may her soul rest in eternal peace!
Nyimbo zake nyingi ni kwa lugha za kiswahili, lingala na Kifaransa.( au baadhi mchanganyiko wa lugha) Za kiingereza sana sana ni Hymns, au baadhi ya tenzi za rohoni. Sina sana uhakika wa nyimbo zake kwa lugha hii!
 
Ebana mi sometime huwa namawazo sana,ila nikiweka nyimbo za huyu Dada nabarikiwa nakufarijika sana,kwenye tenzi ile nyimbo ya (Ndio dhamana),huwa naipenda sana. kwa kweli Mungu ambariki huko alipo,huwa sichoki kumsikiliza nyimbo zake.
 
Dah!! Sikujua kama kesha fariki!!!!!
pamoja na kutokuamini hayo majarida ya kimapokeo(Bible and Qur'an) wimbo wa EBENEZER wa huyo mama nausikilizaga Sana.R.I.P
 
Mkuu mm video zake nyingi nimezidownload you tube siamini kama ameshatangulia.nikimwangilia kwenye video naona kama yupo hai kabisa.Huyu Dada Mungu alimpa kipawa cha uimbaji.Sauti yake mpaka unazama kiroho.
 
Mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani.....r.I.p Angera chibalonza
 
Dah!! Sikujua kama kesha fariki!!!!!
pamoja na kutokuamini hayo majarida ya kimapokeo(Bible and Qur'an) wimbo wa EBENEZER wa huyo mama nausikilizaga Sana.R.I.P

That is my favourite song. all of my friends know that very well
 
Mcheki video zake tu Anjela lazima utamkubali,ingawa wote wanafanya gospel lkn anjela ana upekee kabisa,matamasha yake pia kama aliyoyafanya Korokocho sehemu fulani ipo Kenya yupo vizuri sana.
 
Yaweee ee uhimidiwe, uwaminifu wako unajulikana ,kwa mataifa yote ya ulimwenguuuu yaweee., umeumbaaa lakini hauku umbwaaa... na mwingine Nataka nitoke chini,toka chini kwenda juuu, chini kunamagonjwa ........
 
Jesus Christ est la Chemin na Bokonzi nayo zinanibariki sana.

kuna mwimbo huu wa kaanami ni uckusana usiniache gizan bwana msaadawako haukomi yani huu mwimbo ilikuwa room kwetu ukipigwa ujue pepa zmeanza na hapakalik ndani kwahyo ndio unaisaka faraja.
 
Mola ampumzishe kwa amani na mwanga wa milele amwangazie, ngoja nisikilize hizo nyimbo zote tena
 
amefariki toka 2007 kwa ajali ya gari kwako kenya.
 
Back
Top Bottom