Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 2,260
- 5,385
Kuna channel za telegram zinakuaga na updateSijafuatilia nilikuwa busy busy leo plus awafim kufungiwa sijaona wacha niitafute
Naam nimempata ndugu yangu, hiyo Solo leveling ilinisisimua sio poa dadek
Kuna hiziπ
Windbreaker
Wistoria: wand and sword
Demon slayer
Jujutsu kaisen
Attack on titan
Sakamoto days
Tokyo ghoul
Tokyo Revengers na nyingine kibao
Fanya yako binti , bora niangalie katuni kuliko Kufatilia Habari za Mwijaku na Babalevo.
I stop arguing even if I'm right
Za Wamarekani zikiwa za kusoma wao wanaita comic na Animation zao ni cartoon japo pia neno animation LinatumikaKuna hii inaitwa Devil May Cry ni ya mwaka huu ni kali sana, imetengenezwa na Wamarekani, hii tunaiweka kwenye kundi gani, au ni American Anime
View: https://youtu.be/OlEqHXRrcpc?si=SlFF-oArbJZyW-Q5
Nisaidaie link mkuuKuna channel za telegram zinakuaga na update
Makonouchi inanifanya niipende kwa vitu vingi sanaππView attachment 3411828
Updated.
1. Black Clover.
2. Wind Breaker.
3. Death Note.
4. Demon Slayer.
5. Tsumikichi moon Fantasy.
6. Haikyuu.
7. Blue Lock.
8. The Saga of Tanya the Evil.
9. God of Highschool
10. Shangri la Frontier.
11. Spy X Family.
12. Classroom of Elite.
13. One Piece
14. Jujitsu Kaisen.
15. Solo Levelling.
16. Dragon Ball Z.
17. Bleach.
18. Naruto.
19. Berserk.
20. Attack on Titan.
21. Hell's Paradise.
22. OverLord.
23. Dan Dan.
24. Lazarus.
25. Fire Force.
26. My Hero academia.
27. Gachiakuta.
28. Hunter X Hunter.
28. Tokyo Revengers.
29. Tokyo Ghoul.
30. Sakamoto Days.
31. Kaiju Number 8.
32. Hajime No Ippo.
33. Blue Eyed Samurai.
34. Blue Exorcist.
35. Kengan Ashura.
36. Devil May Cry.
37. Castlevania.
38. Vinland Saga.
39. Mushoku Tensei.
40. That Time I Got Reincarnated as a Slime.
41. Re - Zero.
42. Mashle.
43. One Punch Man.
44. Noblesse.
45. Arcane.
46. Chainsaw Man
47. Black Lagoon.
Ha ha ha Song Moja tamu Sana. Hata kama lugha haipandi.Makonouchi inanifanya niipende kwa vitu vingi sanaππ
Hapa ukiskiliza hii song unakumbuka ile Scene Volg San analud kwao Russiaπ
View attachment 3411903
Ila kwa song za Anime sijaona inayozidi hii ya Kaiju No 8 kila episode inavyoisha. Hii ndio anime ambayo hata ikiisha naangalia maandishi hadi mwisho ili tu nisikilize hii nyimbo π πHa ha ha Song Moja tamu Sana. Hata kama lugha haipandi.
Jamaa wanajitahidi kwenye sehemu zote, Story kali, Songs Kali.
Boxing nilikuwa siielewi Kabisa, ila baada ya kuangalia Hajime No Ippo aisee nilinyoosha mikono. Ilibidi nibadilishe mtazamo.
Iko poa Sana hii.Ila kwa song za Anime sijaona inayozidi hii ya Kaiju No 8 kila episode inavyoisha. Hii ndio anime ambayo hata ikiisha naangalia maandishi hadi mwisho ili tu nisikilize hii nyimbo π π
View: https://youtu.be/aiCMXJ4zKWA?si=gSfz73dms9nGJnU9
Hata mimi Boxing nimekuja kuijulia kwenye Hajime no IppoHa ha ha Song Moja tamu Sana. Hata kama lugha haipandi.
Jamaa wanajitahidi kwenye sehemu zote, Story kali, Songs Kali.
Boxing nilikuwa siielewi Kabisa, ila baada ya kuangalia Hajime No Ippo aisee nilinyoosha mikono. Ilibidi nibadilishe mtazamo.
Hii kitu ni balaa.Muda si mrefu leo nikaanza kuiangalia hii, sasahivi nipo episode ya 7 na sielewi hata nimefikaje. Naona chuma kinateleza mpaka rahaView attachment 3412264
https://animepahe.ru/ tumia hii site hamna anime utakosaNisaidaie link mkuu