Animated avatar, au avatar inayochezacheza ?

mathematics

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
3,324
Reaction score
1,116
How do you put animated avatar, au avatar inayochezacheza?
 
Unataka avatr ipi? Avatar zenye kucheza cheza kama yangu zinaitwa animated Gif. Mfano kama unatafuta ya mtoto anaedance just select pictures at google and then search for animated dancing baby, hapo utapata zaidi ya moja chagua unayoipenda,then iselect kama avatar yako
 
avatar nilyoweka hii ya thinking cap ni gif,na kwenye pc inachezacheza kwa kublink-blink, but nimejaribu kuiweka ichezecheze kama ilvyo but nashangaa haiji kama ninavyotaka that is why nikauliza labda kuna namna ambavyo mm sijui!
 
Unataka avatr ipi? Avatar zenye kucheza cheza kama yangu zinaitwa animated Gif. Mfano kama unatafuta ya mtoto anaedance just select pictures at google and then search for animated dancing baby, hapo utapata zaidi ya moja chagua unayoipenda,then iselect kama avatar yako

nashukuru kwa somo hili,
ngoja na mimi niifanyie kazi.
 
Back
Top Bottom