Nafikiri tumuache Lowassa atumie uhuru wake kama mtanzania, wenye mamlaka ya kumpa urais mtu yeyote ni watanzania kwa hiyo Lowassa hata akiongea maneno yakatoa fedha na watu tukagawana hayatamsaidia kama sisi tutasema no kwenye uchaguzi. Yuko wapi Lau Masha pale mwanza alikuwa waziri wa polisi na Magereza je alishindwaje wakati aliongoza dola la polisi???? Yuko wapi Mama Getruda Mongela aliyeongoza mkutano wa dunia huko Beijing miaka ile????.wako wapi wabunge 23 walioongoza majimbo yao toka 2000 hadi 2005 wa CCM ambao amjimbo yao yamekwenda CDM?????
mWACHENI lOWASSA atumie haki yake lakini cha moto atakiona ktk sanduku la kura.Kwa sasa inchi hii hakuna mgombea toka CCM atakayeweza kumtikisa DR.sLAA hilo halina ubishi kinachotakiwa ni kuanza kumuandalia mazingira mazuri ya kuzoa ushindi lakini mjue huyo ndiyo chaguo la WATANZANIA hata kama CCM wasipokubali kuandika katiba mpya.
Nawasilisha