Anguko la taifa laja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anguko la taifa laja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by never, Jun 24, 2011.

 1. n

  never JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu wanawaJF na wasiyo kuwa wanawaJF ambao huwa wanapita humu kwakuperuziiii na kudadisi ASALAAM ALYKHUMUU.

  Nimeamua kutoa mtazamo wangu juu ya anguko la TAIFA hili kwa kile ninachokiona kinavyoendelea kwasasa. nimesikitishwa sana na kauli zinazoendelea huku mitaani na maofisini juu ya nani awekiongozi wataifa hili na watu wengi *wa maofisi wamipongeza forum hii kuwa inauwezo wa kumpanga Rais wataifa hili kuliko taasisi yeyote ile ukilinganisha na wnzetu waliyoendelea huwa na taasisi maalum ya kumchagua Rais hata kama wananchi hamumtaki mtamchagua tu kwambinu wanazozitumia kwa ushawishi mkubwa wa hali ya juu.

  Hapa kwetu Tanzania hamna mpango huwo ndiyo maana unasikia kila siku tunatengeneza kizazi cha kifisadi, kizazi cha kulipana kisasi na kizazi cha majigambo hili nianguko la taifa kwasasa. ila niendembali zaidi nipale ninapoendelea kusikia watu makini au forum makini kama hii pamoja na uhuru wa maoni au mawazo watu wanao takiwa kutoa eti na kufikiri kwetu kote TUNAWAZISHWA HUMU LOWASSA aje atawale taifa hili, kiukweli tunaanza kumjengea LOWASSA njia ya URAIS bila sisi kujijua kuwa ni watu muhimu sana katika kupanga na kupangua viongozi bora na wasiyo bora.

  Naamini kauli hii wengi watanipinga na wengi wataniunga mkono: turudi nyuma uchaguzi uliyopita JF ilichangia kwakiasi kikubwa mno kumpata mgombea URAIS wa CDM na tuliona tulivyochangia kumpata mgombea makini mwenye uwezo mkubwa kuliko aliyeshinda sasa na hata huku AFRICA KUSINI tulipo forum hii inasifika sana kwa hilo. sasa iweje leo hii tuanze kupoteza malengo yetu kwakutaka kuwarudishia madaraka wezi wakuu wataifa hili? kama sikutaka kuliangamiza taifa kwa ushabiki usiyo na tija yeyote ile kwa mwananchi wa kijijini asiyejua kinachoendelea kwasasa ?

  Hofu *hii nimeipata leo kupitia humu humu JF nasikia LOWASSA leo alikuwa anachangia hutuba ya waziri mkuu wengi mmemsifu badala ya kuendelea kumkataa kwa maovu yake aliyoyafanyia taifa mmeanza kusahau na wengine kumuonea hata na huruma. hili niaanguko la taifa na JF mtahusika na hukumu hii pamoja na mimi kwa kuwa ni member humu.

  HITIMISHO
  Tuanndaeni viongozi makini kwa faida ya dada zetu mama zetu watoto wetu waliyopo vijijini ambao nawao siku moja wanatamani kuliongoza taifa hili na anaweza kuwa viongozi bora kuliko kizazi chtu cha sasa. haya ni maoni yangu na wewe unaweza fikri zaidi yangu kwa kulisaidia taifa. MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI JF......
   
 2. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  mkuu nikuunge mkono kwa haya yote uliyo yanena ni mambo ya msingi na yanamaana katika taifa letu
   
 3. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Lowassa akichukua fomu nitampigia kampeni la nguvu.
   
 4. n

  never JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ndugu yangu jaribuni kuwa nauchungu wataifa hili jamani Sikatai Lowassa alikuwa mtendaji mzuri sana tena sana *ila Kumrudisha Lowassa kwenye madaraka makubwa ni kuliangamiza taifa.

  1. lowassa atataka kulipiza kisasi kwakuwa mkuu wa nchi alimtenda vilivyo
  2. Lowassa hata kubali demokrasia itawale atawaminya wapinzani na nchi itawaka moto
  3.Lowassa hata weza kuliinua taifa kiuchumi
   
 5. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,185
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Lowasa akiwa kiongozi wa nchi, atakuwa kama gadafi, kila kitu kitakuwa mali yake
   
 6. C

  Chesty JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 2,353
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Katiba ya JMT inakupa uhuru huo ila believe me CCM na wagombea wake wote tunawapiga chini, ni wezi, wabadhirifu, hawana dira wala hawajui kiongozi wa kuleta maendeleo katika karne hii anatakiwa kuwa ni wa kaliba gani.

  CCM na akina Lowassa wamepitwa kabisa na wakati, they are the reason why TZ is one the poorest countries of the world. They will never be part of the solution for our troubles because they have created them.

  Kama nchi tunaanza upya na chama kipya na viongozi wapya wa kitaifa.
   
 7. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwani huyu aliyepo madarakani amefanikiwa kuyafanya haya unayoyasema?kwani huyu aliyepo madarakani siyo fisadi?
   
 8. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huo ni mtazamo wako wewe humtaki wengne tunamhitaji sasa usilazime kile unachokiamini wewe ndo kionekane sahihi
   
 9. n

  never JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Aliyo madarakani ni Fisadi na anayetakiwa kuingia madarakani vile vile ni fisadi, niliyo yanena hapo nimmoja alimsaliti rafiki yake so rafiki akabaki na mshangao mkubwa sana kwani hata hivi sasa maswahiba wawili wa familia hiyo yaani RZ1 na FRDY hawapeani hata salaam sasa unategemea nini? na huyu jamaa aliyeingia madarakani alikuja kwa visasi kwa BEN
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Ndugu never, ujue kila jambo lina sababu. Hili jukwaa anaingia kila mtu. Ni sawa na mtu anayeishi ufukweni akafungulia dirisha ili apate upepo mwanana, badala yake ukaingia upepo na mazagazaga. Kuna wafuasi wa kila mwanasiasa humu
   
 11. n

  never JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  YAP. naamini mimi kila niliwazalo linafaa kwa wakati wangu kama unaona halifai piga kimya
   
 12. n

  never JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ndiyo maana ni kasema lazima tuangalie taifa kwanza haya mambo ya ufuasi yameliangamiza taifa hili kwa mud mrefu sana, hatuna budi kusahau urafiki kwa muda na kuingia katika utendaji kamanda
   
 13. R

  Red one Member

  #13
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Ninaima kuwa wafuasi wa magamba wale safi watakuunga mkono ila wale bendera fuata upepo aisee watakupinga hawo, maana huwa hawapendi ukweli ila umenena mkuuu
   
 14. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Unaweza kueleza kosa hasa la Ed Lowasa linalokufanya wewe uamini haya?
   
 15. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Kwangu mimi Lowasa ni kama shetani mbele za Mungu, hastahili msamaha hata kidogo, yaani kila ninapoona mgao wa umeme nazidi kumchukia huyu fisadi nyangumi Lowasa.Ole wenu nyie mnaompigia debe Lowasa kwa urais wa 2015.ALAANIWE LOWASA, ILAANIWE CCM NA WALAANIWE WOOOOOOOOOOOOOOOOOOTE WANAOMPIGIA DEBE HUYU MWIZI.
   
 16. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wewe ni familia yake so hakuna cha ajabu
   
 17. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #17
  Jun 24, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Fikiria zaidi wewe! kama unaamini hivyo kwa sababu aliipa mchongo richmond, dowans je? leo symbion je? kama alihusika kifisadi juu ya richmond mitambo hiyo haingekuwa ikifanyiwa mpango kila siku wa kuiuzia tanesco umeme maana yeye hayupo serikalini tena. Ebu jiulize kwa nini bado mitambo hiyo kila siku inafanyiwa mpango wa kuuza umeme wake tanesco. Ed bado ananguvu kwenye hilo?
   
 18. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #18
  Jun 24, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ed Lowasa alifanywa mbuzi wa kafara tu na JK !na mi naamini ipo siku kila kitu kitajulikana! TUSUBIRI.
   
 19. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #19
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo unataka wachangiaji wenye mtazamo kama wako tu ndio wachangie.
   
 20. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #20
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Kwani wewe ni familia ya kikwete.
   
Loading...