Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,505
- 11,358
nonsense sana gentleman, huna kazi ya kufanya wwe 🤣Hello watanzania.
Kwa sasa ata kama we ni chawa ni dhahili anguko la Samia unaliona, Samia wa 2021-2023, sio Samia huyu. Samia wa enzi zile alikuwa anapendwa na watanzania japo sio wote na mataifa ya nje yalikuwa yanampenda.
VP Kamala Haris alikuja bongo Kwa mwaliko wa Samia, hapa USA Samia alikuwa anakuja kalibia Kila mwezi.
Mala paaa, 2024, mzee Ally Kibao katekwa, kauawa ,afu Samia akatoa maneno ya kejeri Toka wakati wa Mzee kibao kutekwa na kuuawa Samia akabadilika akaanza kuchukiwa sana kilichofuata baada ya hapo
-Ally Kibao tekwa, uawa.
-Soka tekwa uawa
-Mdude tekwa uawa
-Kipanya tekwa uawa
-Lissu pewa kesi ya uhaini
-Chadema mahakamani tekwa,teswa tupwa maporini
-Polepole tekwa uawa.
-MO29 watu 10,000 pigwa risasi na kuuliwa.
Hayo mambo 70% Mafwele aliyaratibu, na Samia akawa anamuacha tu .
Now Mafwele kapigwa sanctions na USA, Samia hadi anakufa sidhani kama USA atakanyaga, yaani Samia kachukiwa Kila sehemu wanamuita killer au muuaji.
Aione Mafwele
Mto wa Mbu
Karibu state of Illinois.
Ninachofurahi na Samia anaona siku mbaya kwake zinakujaWaganda wakaalikwa kuuwa WA Tanzania siku za uchaguzi
Keep sucking my dicknonsense sana gentleman, huna kazi ya kufanya wwe 🤣
Kada wa chademaKipanya ameuwawa au kipanya yupi mkuu!
nonsense are not necessary on platform gentleman 🐒Keep sucking my dick
Ile facial expression yake tu inaongea mengi.Ninachofurahi na Samia anaona siku mbaya kwake zinakuja
Huyo sijawahi kumsikiaKada wa chadema
Aisee Samia kaua, yeye Kwa ujinga kwakua hajawai ua mtu Kwa mikono basi anadhani hausiki, kumbe kitendo Cha kutoa oda watu wauawe basi na yeye ni muhusikaHuyo sijawahi kumsikia
Ila huyu maza ni laana shumakar ananuka damu za watu wengi sana!
Who cares??nonsense are not necessary on platform gentleman 🐒
Kipanya wa Rukwa alitekwa na kuuawa kisa kuonyesha magari elfu 2 Msafara wa SamiaKipanya ameuwawa au kipanya yupi mkuu!
HakikaKitendo cha kukimbilia russia ndio mwisho wake.....MENE MENE TEKELI NA PERES
Hello watanzania.
Kwa sasa ata kama we ni chawa ni dhahili anguko la Samia unaliona, Samia wa 2021-2023, sio Samia huyu. Samia wa enzi zile alikuwa anapendwa na watanzania japo sio wote na mataifa ya nje yalikuwa yanampenda.
VP Kamala Haris alikuja bongo Kwa mwaliko wa Samia, hapa USA Samia alikuwa anakuja kalibia Kila mwezi.
Mala paaa, 2024, mzee Ally Kibao katekwa, kauawa ,afu Samia akatoa maneno ya kejeri Toka wakati wa Mzee kibao kutekwa na kuuawa Samia akabadilika akaanza kuchukiwa sana kilichofuata baada ya hapo
-Ally Kibao tekwa, uawa.
-Soka tekwa uawa
-Mdude tekwa uawa
-Kipanya tekwa uawa
-Lissu pewa kesi ya uhaini
-Chadema mahakamani tekwa,teswa tupwa maporini
-Polepole tekwa uawa.
-MO29 watu 10,000 pigwa risasi na kuuliwa.
Hayo mambo 70% Mafwele aliyaratibu, na Samia akawa anamuacha tu .
Now Mafwele kapigwa sanctions na USA, Samia hadi anakufa sidhani kama USA atakanyaga, yaani Samia kachukiwa Kila sehemu wanamuita killer au muuaji.
Aione Mafwele
Mto wa Mbu
Karibu state of Illinois.
Je vipi ile habari ya ufisadi,uchawa kwenye mambo ya maslahi ya taifa,rushwa na ulegevu kwenye usimamizo ya utendaji kwenye mifumo mbalimbali ,uminyaji haki za msingi za kikatiba,uuzwaji holela wa rasilimali za taifa,ubaguzi wa kiitikadi na hata vimelea vya ubaguzi kidini na ule wa uzanzibari na Utanganyika!Hello watanzania.
Kwa sasa ata kama we ni chawa ni dhahili anguko la Samia unaliona, Samia wa 2021-2023, sio Samia huyu. Samia wa enzi zile alikuwa anapendwa na watanzania japo sio wote na mataifa ya nje yalikuwa yanampenda.
VP Kamala Haris alikuja bongo Kwa mwaliko wa Samia, hapa USA Samia alikuwa anakuja kalibia Kila mwezi.
Mala paaa, 2024, mzee Ally Kibao katekwa, kauawa ,afu Samia akatoa maneno ya kejeri Toka wakati wa Mzee kibao kutekwa na kuuawa Samia akabadilika akaanza kuchukiwa sana kilichofuata baada ya hapo
-Ally Kibao tekwa, uawa.
-Soka tekwa uawa
-Mdude tekwa uawa
-Kipanya tekwa uawa
-Lissu pewa kesi ya uhaini
-Chadema mahakamani tekwa,teswa tupwa maporini
-Polepole tekwa uawa.
-MO29 watu 10,000 pigwa risasi na kuuliwa.
Hayo mambo 70% Mafwele aliyaratibu, na Samia akawa anamuacha tu .
Now Mafwele kapigwa sanctions na USA, Samia hadi anakufa sidhani kama USA atakanyaga, yaani Samia kachukiwa Kila sehemu wanamuita killer au muuaji.
Aione Mafwele
Mto wa Mbu
Karibu state of Illinois.
Aisee ni kama yule dogo wa tukuyu aliechora picha ya bi chura na kuichoma sijui kama alipatikanaKipanya wa Rukwa alitekwa na kuuawa kisa kuonyesha magari elfu 2 Msafara wa Samia
Huyo mchora katuni uliyemdhania anaitwa Ally Masoud
Yule Dogo ameuawa, aliyesimamia Mauaji kawa WaziriAisee ni kama yule dogo wa tukuyu aliechora picha ya bi chura na kuichoma sijui kama alipatikana
Huyu maza amevunja na kuweka rekodi!