Anguko la Kasri ya Mbinguni ya Wachina April 2018

Anguko la Kasri ya Mbinguni ya Wachina April 2018

kwa ujinga huu wa hizi comments nadiriki kusema huku jamii intelligence wamebaki wala unga na sio km ilivyokua zamani, huu ni upuuzi wa hali ya juu sana, mada inatumwa ya kisayansi na kuelimisha, mtu anaandika upupu. mods muwe mnaangalia na watu wa kuingia hapa.
 
Mods jaribun kuwa silias, Kuna members wanaleta umbumbumbu kwenye vitu vya maaana tunapowashukia mnatupiga ban. Fanyen kazi ya kufuta vitu vyenye necha ya fesibuku.
 
Kuna 85% ya kusababisha madhara kwa RAIA
Lakini kama chombo hiki kingewekwa ktk mzunguko wa nguvu ya uvutani hata kama kingepoteza nguvu bado kingeendelea kuvutwa na nguvu ya uvutani sijui kwa nini China wamefanya kitu cha hatari namna hii au labda huenda uwezo wao wa teknolojia ni mdogo walishindwa kukiweka sehemu ambayo kitatumia nguvu ya uvutani ya jua na Dunia
Kikivutwa juu kitahatarisha uhai wa viumbe vingine huko especial wale mkulu anaotaka akawaongozee
 
Kwa hiyo kilishaanguka ama tuendelee kukisubiria
 
Back
Top Bottom