Naona wachawi povu linawatokaaHabari zenu wakuu.
Kwa jinsi upepo unavyovuma sina budi kusema kwamba huyu kijanaa mwenzetu kutoka tandale anaelekea kuanguakia pua kama ilivyotokea kwa msanii mwenzake Mr nice( Lucas mkenda),sababu kubwa itakayofanya huyu kijana wetu aanguke mshindo mkubwa ni kulewa sifa kiasi kwamba anatumia umaarufu wake kutoa nyimbo ambazo hazina viwango.
Kitu kingine ni kwamba inaonekana huyu bwana mdogo anatumia nguvu na ukubwa wa timu yake kusambaza nyimbo ambazo ziko chini ya kiwango kitu ambacho ni makosa makubwa kwasababu sisi ambao hatuna timu au hatuko kwenye timu yake ni rahisi sana kuona ubovu wa nyimbo zake kwasababu tunatumia akili zetu kuchambua tofauti na members wa timu yake ambao hutumia mihemko.
Kitu kingine anachofanya huyu kijana ambacho sio kizuri ni kutumia nguvu kubwa kwenye video ili kuficha ubovu wa audio kitu ambacho kwa upande mwingine kinapelekea kuwanyima haki ya kusikiliza mziki mzuri wale wasiotizama video zake.
Mwisho.
Diamond alikuja vizuri sana lakini huko anakoenda kuna giza nene lisiloelezeka, kwani kwa hizi nyimbo zake mbili mpya za yeye na Neyo na rich mavoko zinaashiria kwamba graph yake inashuka kwa kasi.
Namshauri aangalie sana management aliyonayo kwa sasa maana naona huyu "Salam" anafanya umbeya zaidi kuliko kazi anazotakiwa kufanya,pia ikiwezekana siku moja moja afanye nyimbo zake kwenye studio nyingine siyo kila siku "WASAFI RECORD"maana naamini hawawezi kujua kila kitu,pia aache kufanya vitu kwa mazoeya.
Hakuna uhusiano wa kuliwa jicho na ku copy muzic...kwani ndugu we darasa la ngapi?sikutegemea unaweza fananisha ivo vitu viwili....afu unapozungumzia copy n paste ujue ht maana yake...mi sioni copy n paste hapo...rangi hazifanani,vitanda havifanani...arrangement ya items ktk izo scene hazifanani...copy n paste maana yake kila kitu kina kua vile vile hakuna mabadiliko bt hapo kuna mabadiliko makubwa...sema ka copy idea ila sio copy n paste...ukiweka paste unabadili maana...Umesema nikuletee ushahidi wa copy & paste iliyofanywa na WCB nimekuletea.
Jay z akiliwa jicho na wewe utakuwa tayari kuliwa jicho??
Mkuu ningejua ulipe ningekupa offer ya lunchMi sipo kishabiki zaidi! Labda tu tuseme ukwl Hiv onana ya diamond ft Mr flaver ni sawa na merry u alioaimba na neyo? Mi naendelea kusisitiza wasanii wetu watashuka viwango kw ajili ya matim ukwl ndo huo! Tim hazina msaada kw msanii kw sababu hazina ushaur wanapokea chochote wanachopewa hilo ni tattizo kubwa!! Diamond ni msanii mzuri Sna! Lakin kwnye hii sehem ya nyimbo ya rich kiwango ni kidogo Sana. Ni mara 100 ile nyimbo ya watora ya yule mzimbabwe alifanya vizur sna!! Kiukwl nyimbo hii kama kaitunga mwenyewe HAPA AMETEREZA...! Bak na timu zako tunaepnda wasanii wetu tunasemaga ukwl! Hii nyimbo haieleweki mkuu!
Hahahahaaaaa hata mauwa mazuri yapendezaaaaaa nao utahit tu hahahaaa!!Diamond atazidi kuwachezea akili level aliofika now hata akimba mabata mazuri wimbo uta hit tu
Ni Whitney huyo siyo simbaaa wetu mkuuuu!!Mnaongea nini nyie?
Mnamfahanu Whitney Hutson?
Alikuwa tajiri , huyo diamond zidisha mara 10000, lkn alikufa maskini
Wapo wengi tu,
Asante sana mkuu,umeongea points sana.Tatizo haya matimu ndo chanzo cha wasanii kuelekea kubaya kiukwl kabisa!! Unajua mm huwa napnda nyimbo na huwa sina taratibu za kupnda mtu!! Anapofanya vizur msanii yeyote yule anastahil pongez, pia unapoona mtu anaelekea kusiko c vyema kukumbatia u team!! Jamaa kaelezea vizuri sna kuwa uwezo wa jamaa utashuka kama sipokua makini na wakumuangusha ni miteam isiyo ya maana! Diamond haimba kama zamani, hana hisia za kimuziki kama zamani! Ww tim ukisikia nyimbo tu ya diamond bac hata akiwa hajafanya vizur unatoa pongez! Tuache ushabiki wakati mwingine tujue kabisa hawa vijana wetu kuna wakati wanateleza kw hiyo lazima usema ukwl! Na ndivyo kesho atalekebisha tatizo! Diamond ni binadam so kuna wakati anakosea pia, tuache matim tushabikia muziki kuitangaza Tanzania!
Hiyo avatar nimeitoa hapa kijijini kwetu.Ya Diamond hayanihusu nakumbuka Mbagala basi. Sasa hebu niambie hiyo avatar uliitoa wapi?
Ukweli upi? Wewe si wa kwanza kupiga hizo ramli; hebu pitia hii habari ya mwaka 2013:Tatizo hawa team mondi hawataki kusikia wakiambiwa ukweli, ila ngoja tuwaeleze tu wasiposikia basi watajua wenyewe.
Wakati wewe unaota anguko lake kuna wengine walienda mbele ya TV na kuapa kwamba watamshusha... unaenda mwaka wa nne sasa!! Lakini vile vile ukipitia hapa JF; threads sawa na zako zipo 10 kidogo na ingekuwa kuota ndo kutokea; huyu jamaa asingekuwepo leo hii!!! Lakini vile vile ukipitia hapa JF; wapiga ramli sawa na wewe wapo kwa miaka kadhaa sasa; kwa uchache tu, hawa hapa:Leo Diamond Platnumz kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM, ameamua kufunguka kwa undani kuhusiana na shutuma zinazoelekezwa kwake kuanzia kudaiwa kutumia waganga wa kienjeji kuosha nyota yake na scandal zingine. Kuhusiana na mganga anayedai kuwa atamshusha Diamond baada ya kumtelekeza Diamond amesema:
Kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki piga hesabu mwenyewe tangia kutoka kwa Kintorondo hadi leo! Mwingine huyu hapa:Wakuu sishabikii ,ila I predict nyimbo zote zinazokuja za Diamond Platnumz hazitahit tena,Katoa wimbo unaitwa Kitorondo,
NB:ASIMDHARAU ALIKIBA WOTE WANAFANANA TU
Ni zaidi ya miaka 3 imepita sasa tangu hiyo ramli ipigwe! Mganga wa kienyeji mwingine huyu hapa:Naam na hili ndilo anguko rasmi la msanii diamond
BELIEVE IT OR NOT ..HII NDO CROWD ILIYOKUWEPO KWENYE SHOW YA DIAMOND JIJINI MWANZA-TANZANIA SIKU YA JANA TAREHE 14-2-2013 . Intresting!.......Ukumbi unaitwa Gold-Crest.......Photo Credit FORTUNATUS MKARE
Miaka miwili imepita tangu jamaa achukue kuku mweupe na paka mwenye chongo kufanikisha ramli! Akaja huyu nae:Anguko la Diamond limefika,hana baraka za baba, kwa hiyo hawezi kusonga mbele hata kama taifa zima litamuombea, DIAMOND KAMUANGUKIE BABA YAKO, OR ELSE YOU'RE GONE AWAY.
Mwaka umekatika lakini ndo kwanza anazidi kupiga shows kwenye nchi ambazo hakuna Mtanzania hata mmoja amewahi kufanya shows!Anguko la Diamond Platnumz
Kama wewe ni mfuatiliaji wa trend ya muziki hapa nchini utagundu hivi karibuni heshima ya diamond kimuziki imeshuka sana ila kinachoweka juu ni tetesi na magazeti na ni habari zisizohusiana na muziki,
Acha kumfananisha chibu dangote na vitu vya kijingaKijanaa mwenzetu anaelekea shimoni inabidi tumshike shati mapema asije akadumbukia.
Mkuu maona umeamua kuumua na kumzika kabisa huyu mpiga ramli hawezi kurudi tena humuUkweli upi? Wewe si wa kwanza kupiga hizo ramli; hebu pitia hii habari ya mwaka 2013:Wakati wewe unaota anguko lake kuna wengine walienda mbele ya TV na kuapa kwamba watamshusha... unaenda mwaka wa nne sasa!! Lakini vile vile ukipitia hapa JF; threads sawa na zako zipo 10 kidogo na ingekuwa kuota ndo kutokea; huyu jamaa asingekuwepo leo hii!!!
Endelea kumpa huyo mwenzako sifa za kijinga.Acha kumfananisha chibu dangote na vitu vya kijinga
Na nimemwekea kabisa na ramli za waganga wa kienyeji wenzake!!Mkuu maona umeamua kuumua na kumzika kabisa huyu mpiga ramli hawezi kurudi tena humu
ngoma ikivuma sana hupasuka; na pia hapana marefu yasiyo na nchaMmmmh kwa kuandika bila hata kupumua, inahashiria unatamani aanguke.
Haya kamsalie ili apae zaidi.
Waelekeze jinsi ya kulima maharagwe, karanga, njegere ili waweze kupunguza vitambi. Si kula nyama na samaki kunasaidia. kwetu hatuli nyama na samaki ila hivyo vitu vimefanya watoto wasiwe na hiyo hali.Hiyo avatar nimeitoa hapa kijijini kwetu.
Nachokiongea ni hiki:Huyo jamas ni hater , hajui hata anachokiongea