Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,059
Hizi wanazopitia ni changamoto baada ya kuondokewa na kiongozi wao ila Clouds bado wapo vizuri.Japokuwa Wasafi wanafanya vizuri ila wana mengi ya kujifunza kutoka kwa Clouds.
Tulia dawa ikuingieAkili zako zinakitosha wewe mwenyewe. Mambo ya clouds huyawezi
Ahaaaaaaaaah unaibishia TCRA...?Hizi wanazopitia ni changamoto baada ya kuondokewa na kiongozi wao ila Clouds bado wapo vizuri.Japokuwa Wasafi wanafanya vizuri ila wana mengi ya kujifunza kutoka kwa Clouds.
Ni competition, so lazima mmoja awin na mwingien aloose.Kwani zote haziwezi kuwa juu? Kwani clouds kuwa juu alianguka nani?
Mbona mnapenda kuwa juu peke yenu kwa nini wote msiwe juu.
Yaani unataka mafanikio kwa kumuangusha mwenzio.[emoji107][emoji107][emoji107][emoji107]
Tukia wewe Usiwabishie TCRA[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] weee kijana hebu jipe pause kwa muda, mambo ya Clouds huyawezi, utakuja kuwa chizi bureeeeh kwa kuendeshwa na mahaba yako mazito kwa WCB, relaaaaaaaaax
Wasafi ni moto wa kifuuNi kweli na kingine Ukubwa wa clouds ni radio sio Tv yaani at least siku hizi wamejitahidi kuweka vipindi na hata graphics zimekaa fresh..
Sijui nani yupo nyuma ya vipindi vya wasafi ila sijui kama ataweza kwenda sawa na nchakali
Vp na mawasafi nayo uliyashauri???Niliyashauri hayo maklauz yasijikombe kwa CCM hayakusikia.
Yaaani Hadi mtaa umepoa sanaWamezimwa sasa hivi [emoji43][emoji43]
Wanapenda wenyewe maana hawashikiwi bakora Wasafi fm na tv ni nouma clouds ikasome mwaka huu[emoji123].Wasafi haina ishu iyo show ya Sunday vijana wa chuo dar ndo wanazolewa kule buree kwenda wasafi sio kwamba wanapenda ila njaaa