kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake...
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita ,nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu, kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.
Ndugu yangu Makupa hivyo visenti unavyopata kutoka kwa wakina Nape kusambaratisha Chama kubwa zitakutokea puani kila mtu ana njaa lakini ya kwako imekithiri kweli nimeamini wewe ni mangi meza
mafilili kwa hili unaarisha kwa kutumia mdomo jamani, waongelea katibu wa tawi wa cdm kushikana mashati, hujui kuwa waziri omar nundu na naibu wake wameshikana mashati tena hadharani? Hujui kuwa jk na fisadi lowasa hawaelewani? Hujui kuwa samwel sita na el hawaelewani? Duh fahamu mafisadi hawabebekinakubaliana na wewe, hapa mtaani kwetu mwenyekiti wa tawi la cdm na katibu wake usiku wa jana wameshikana mashati; kweli hiki chama ni uvunjaji wa amani tu
Mambo gani mkuu hayaendi vizuriShida kubwa ya Watanzania ni kukosa uzalendo tu. Unawezaje kushangilia kuanguka kwa CDM wakati wanakusaidia mambo yako yaende vizuri?
brain concussion