DK.Slaa huyu ndiye tumaini la Chadema. Pamoja na kwamba wanajua hataweza kukanyaga Ikulu kwa sababu Watanzania hawajawa wajinga kiasi hicho. Lakini wanajua wakimtumia vizuri Dk.Slaa ni mtaji wa kuongeza ruzuku, fursa kuu ya kiuchumi ambayo ndiyo lengo kuu la Chadema
Patamu hapo nangojea siku ifike
yaan chadema mnamshabikia slaa ambaye naye pia alikuwa ccm mpaka alipotoswa kugombea ubunge kupitia ccm jimbo la karatu! Eti leo huyu ni mtu wa maana sana; kiukweli hana tofauti na shibuda na mpendazoe! Jembe la chadema ni zitto ambaye hapewi nafasi ya kuongoza chama kwa kuwa hatoki kilimanjaro au arusha!
mzinga huu ndio ukweli wenyewe ngoja uone!zzk anajua ana kundi kubwa la watu ndani ya cdm
Wana JF.
Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema). Kimejipa jina hilo maudhui makuu katika jina hilo, ni mawili tu.
Demokrasia na Maendeleo.
Demokrasia kwa maana ya fursa kwa mwanachama na kiongozi wake asiyeweza kuipata katika chama kingine chochote kile nchini, fursa ya kushiriki katika maamuzi muhimu ya chama.
Maendeleo kwa kila Mtanzania, yanayotokana na mgawanyika sawa wa rasilimali za taifa hili.
Leo chama hicho kinapata mamilioni kwa ajili ya maendeleo ya chama kupitia ruzuku ya Serikali, lakini mamilioni yote hayo hatuoni yanavyoendeleza wanachama wake, achilia mbali chama chenyewe hicho.
Watanzania wapenda amani wameishakuwa makini na Chadema kwamba chama hicho ni hatari kwa ustawi wa jamii.
Viongozi wanaounda Baraza Kuu na Kamati Kuu, ni wale waliokosa uvumilivu ndani ya vyama vya siasa walivyokuwamo mwanzo, wengi wao wakiwa wametokea CCM baada ya matamanio yao ya kupata madaraka waliyoyataka kukosekana huko, akiwamo DK. Slaa mwenyewe.
Ni wazi siku si nyingi anguko la Chadema tutaliona miongoni mwa hao watapatikana kina Yuda Iskarioti waliokata tamaa, na hilo ndiyo litakuwa anguko la Chadema.
Mhh nchi hii ina kazi kubwa bado kama mpaka leo kwenye ulimwengu w digital bado kuna watu wa disign hii kweli nchi inahitaji maombi na si elimu ya kawaida, haitatukomboa, tena utashangazwa ukiambiwa aliyeandika hivi ni kiongozi wa ngazi fulani kwenye chama tawala!!!!!!!!!!!!!!!!!!@@@@@@@@@@@ ----"""""""
Nisalimie Chama wa Gongo la mboto.Watu wenye akili zetu tunapoandika kuwaasa Watanzania wenzetu wajiepushe na chama hicho, tukiwasihi watuamini kwamba hicho kinachoitwa Demokrasia na Maendeleo ndani ya hicho chama ni ghilba na hadaa tu inayolenga kuwanufahisha baadhi ya waliomo, wanakuwa na moyo migumu kama kina Tomaso wa enzi za Yesu.
Wana JF.
Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema). Kimejipa jina hilo maudhui makuu katika jina hilo, ni mawili tu.
Demokrasia na Maendeleo.
Demokrasia kwa maana ya fursa kwa mwanachama na kiongozi wake asiyeweza kuipata katika chama kingine chochote kile nchini, fursa ya kushiriki katika maamuzi muhimu ya chama.
Maendeleo kwa kila Mtanzania, yanayotokana na mgawanyika sawa wa rasilimali za taifa hili.
Leo chama hicho kinapata mamilioni kwa ajili ya maendeleo ya chama kupitia ruzuku ya Serikali, lakini mamilioni yote hayo hatuoni yanavyoendeleza wanachama wake, achilia mbali chama chenyewe hicho.
Watanzania wapenda amani wameishakuwa makini na Chadema kwamba chama hicho ni hatari kwa ustawi wa jamii.
Viongozi wanaounda Baraza Kuu na Kamati Kuu, ni wale waliokosa uvumilivu ndani ya vyama vya siasa walivyokuwamo mwanzo, wengi wao wakiwa wametokea CCM baada ya matamanio yao ya kupata madaraka waliyoyataka kukosekana huko, akiwamo DK. Slaa mwenyewe.
Ni wazi siku si nyingi anguko la Chadema tutaliona miongoni mwa hao watapatikana kina Yuda Iskarioti waliokata tamaa, na hilo ndiyo litakuwa anguko la Chadema.
Wahindi wanamsemowao unaosema...Boo dinda akili poteyaChadema iliwafanya Watanzania wenzetu kadhaa wamepoteza maisha yao katika mikoa ya Singida, Morogoro, Mwanza, na Iringa, lakini bahati nzuri Rais Kikwete, analinda amani.
Chadema iliwafanya Watanzania wenzetu kadhaa wamepoteza maisha yao katika mikoa ya Singida, Morogoro, Mwanza, na Iringa, lakini bahati nzuri Rais Kikwete, analinda amani.
Mbona watu wazito kuelewa Kama Zito!huyo Zito hatofukuzwa na mtu atajifukuza mwenyewe na shibuda wake muda wao ukifika wataondoka Mbona maandishi yapo ukutani,akili zakupambambanua ham nazo.........chadema itakufa siku wakimfukuza Zitto! heche amejaribu kwa juliana ngoja tuone kama yupo mwenye uwezzo wa kumfukuza ZZK
Sikujua kumbe polisi wanaoua raia wote ni Chadema ?Chadema iliwafanya Watanzania wenzetu kadhaa wamepoteza maisha yao katika mikoa ya Singida, Morogoro, Mwanza, na Iringa, lakini bahati nzuri Rais Kikwete, analinda amani.