Anguko la CHADEMA lipo njiani

Anguko la CHADEMA lipo njiani

Spike Lee

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
625
Reaction score
272
Wana JF.
Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema). Kimejipa jina hilo maudhui makuu katika jina hilo, ni mawili tu.

Demokrasia na Maendeleo.

Demokrasia kwa maana ya fursa kwa mwanachama na kiongozi wake asiyeweza kuipata katika chama kingine chochote kile nchini, fursa ya kushiriki katika maamuzi muhimu ya chama.

Maendeleo kwa kila Mtanzania, yanayotokana na mgawanyika sawa wa rasilimali za taifa hili.

Leo chama hicho kinapata mamilioni kwa ajili ya maendeleo ya chama kupitia ruzuku ya Serikali, lakini mamilioni yote hayo hatuoni yanavyoendeleza wanachama wake, achilia mbali chama chenyewe hicho.

Watanzania wapenda amani wameishakuwa makini na Chadema kwamba chama hicho ni hatari kwa ustawi wa jamii.

Viongozi wanaounda Baraza Kuu na Kamati Kuu, ni wale waliokosa uvumilivu ndani ya vyama vya siasa walivyokuwamo mwanzo, wengi wao wakiwa wametokea CCM baada ya matamanio yao ya kupata madaraka waliyoyataka kukosekana huko, akiwamo DK. Slaa mwenyewe.

Ni wazi siku si nyingi anguko la Chadema tutaliona miongoni mwa hao watapatikana kina Yuda Iskarioti waliokata tamaa, na hilo ndiyo litakuwa anguko la Chadema.
 
umeingia humu ukiiwaza chadema kwamba itakufa ,badili fikra zako bado hazijakombolewa ondoa woga ulionao kuhusu ajira yako ,maisha yapo popote .hofu uliyonayo itakutesa sana ila muda bado upo wa kubadilika .kwa upande mwingine umetimiza wajibu wako kikazi .
 
...hoja umetoa sawa lakini sioni hoja yeyote ya msingi wa kauli yako 'anguko la CHADEMA' ...just jumping into conclusion ha! ...rebuild your premises before jumping into conclusion:ranger:
 
Watu wenye akili zetu tunapoandika kuwaasa Watanzania wenzetu wajiepushe na chama hicho, tukiwasihi watuamini kwamba hicho kinachoitwa Demokrasia na Maendeleo ndani ya hicho chama ni ghilba na hadaa tu inayolenga kuwanufahisha baadhi ya waliomo, wanakuwa na moyo migumu kama kina Tomaso wa enzi za Yesu.
 
Kwa uwezo wa Mungu kwa wewe una roho ya kichawi na uanze kuanguka wewe.
 
Wana JF.
Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema). Kimejipa jina hilo maudhui makuu katika jina hilo, ni mawili tu.

Demokrasia na Maendeleo.

Demokrasia kwa maana ya fursa kwa mwanachama na kiongozi wake asiyeweza kuipata katika chama kingine chochote kile nchini, fursa ya kushiriki katika maamuzi muhimu ya chama.

Maendeleo kwa kila Mtanzania, yanayotokana na mgawanyika sawa wa rasilimali za taifa hili.

Leo chama hicho kinapata mamilioni kwa ajili ya maendeleo ya chama kupitia ruzuku ya Serikali, lakini mamilioni yote hayo hatuoni yanavyoendeleza wanachama wake, achilia mbali chama chenyewe hicho.

Watanzania wapenda amani wameishakuwa makini na Chadema kwamba chama hicho ni hatari kwa ustawi wa jamii.

Viongozi wanaounda Baraza Kuu na Kamati Kuu, ni wale waliokosa uvumilivu ndani ya vyama vya siasa walivyokuwamo mwanzo, wengi wao wakiwa wametokea CCM baada ya matamanio yao ya kupata madaraka waliyoyataka kukosekana huko, akiwamo DK. Slaa mwenyewe.

Ni wazi siku si nyingi anguko la Chadema tutaliona miongoni mwa hao watapatikana kina Yuda Iskarioti waliokata tamaa, na hilo ndiyo litakuwa anguko la Chadema.[/QUOTE

Ndugu yangu,mimi niko wilaya fulani ni hivi majuzi CHADEMA makao makuu wametuma fungu la hela kulipia kodi ya pango, kwa hiyo siyo eti hela za ruzuku huzioni , kwani unataka uzione wapi? Pili hapo kwenye red huyo mtu Yuda Eskarioti hafanani na hao unaowazungumzia yeye wala hakukata tamaa bali alikuwa na nia awasanifu tu wale waliompa vipande vya fedha ili wakishindwa kwenye hiyo mission yao awacheke, alipoona wamefanikiwa kinyume na matarajio yake kwanza alitaka awarushishie hela zao walipokata basi alijuta sana na hatimae kujinyonga labda basi ndo kukata tamaa unakozungumzia .
 
Watu wenye akili zetu tunapoandika kuwaasa Watanzania wenzetu wajiepushe na chama hicho, tukiwasihi watuamini kwamba hicho kinachoitwa Demokrasia na Maendeleo ndani ya hicho chama ni ghilba na hadaa tu inayolenga kuwanufahisha baadhi ya waliomo, wanakuwa na moyo migumu kama kina Tomaso wa enzi za Yesu.

Hapo inakubidi ujilaumu wewe kwa kushindwa kuweka hoja za kuwashawishi wakuelewe, we unatoka huko kama sheikh yahaya unatarajia watu wakuamini kirahisirahisi tu, ukiendelea hivi utakuwa hupewi posho, shauri yako!
 
Pike Lee, kwa ni democrasia ni utovu wa nidhamu na kuhujumu chama? au na wewe ni masalia? nenda ukachukue ujira wako pale lumumba umemaliza kazi waliyokutuma
 
DK.Slaa huyu ndiye tumaini la Chadema. Pamoja na kwamba wanajua hataweza kukanyaga Ikulu kwa sababu Watanzania hawajawa wajinga kiasi hicho. Lakini wanajua wakimtumia vizuri Dk.Slaa ni mtaji wa kuongeza ruzuku, fursa kuu ya kiuchumi ambayo ndiyo lengo kuu la Chadema
 
Wana JF.
Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema). Kimejipa jina hilo maudhui makuu katika jina hilo, ni mawili tu.

Demokrasia na Maendeleo.

Demokrasia kwa maana ya fursa kwa mwanachama na kiongozi wake asiyeweza kuipata katika chama kingine chochote kile nchini, fursa ya kushiriki katika maamuzi muhimu ya chama.

Maendeleo kwa kila Mtanzania, yanayotokana na mgawanyika sawa wa rasilimali za taifa hili.

Leo chama hicho kinapata mamilioni kwa ajili ya maendeleo ya chama kupitia ruzuku ya Serikali, lakini mamilioni yote hayo hatuoni yanavyoendeleza wanachama wake, achilia mbali chama chenyewe hicho.

Watanzania wapenda amani wameishakuwa makini na Chadema kwamba chama hicho ni hatari kwa ustawi wa jamii.

Viongozi wanaounda Baraza Kuu na Kamati Kuu, ni wale waliokosa uvumilivu ndani ya vyama vya siasa walivyokuwamo mwanzo, wengi wao wakiwa wametokea CCM baada ya matamanio yao ya kupata madaraka waliyoyataka kukosekana huko, akiwamo DK. Slaa mwenyewe.

Ni wazi siku si nyingi anguko la Chadema tutaliona miongoni mwa hao watapatikana kina Yuda Iskarioti waliokata tamaa, na hilo ndiyo litakuwa anguko la Chadema.
waandikie ujumbe huu hao wanauza raslimali zetu yaani inafikia hadi wanapakia twiga (our national identity) wazima wazima kwenda nje ya nchi kuwauza. huo si ujasusi jamani.
 
Wana JF.
Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema). Kimejipa jina hilo maudhui makuu katika jina hilo, ni mawili tu.

Demokrasia na Maendeleo.

Demokrasia kwa maana ya fursa kwa mwanachama na kiongozi wake asiyeweza kuipata katika chama kingine chochote kile nchini, fursa ya kushiriki katika maamuzi muhimu ya chama.

Maendeleo kwa kila Mtanzania, yanayotokana na mgawanyika sawa wa rasilimali za taifa hili.

Leo chama hicho kinapata mamilioni kwa ajili ya maendeleo ya chama kupitia ruzuku ya Serikali, lakini mamilioni yote hayo hatuoni yanavyoendeleza wanachama wake, achilia mbali chama chenyewe hicho.

Watanzania wapenda amani wameishakuwa makini na Chadema kwamba chama hicho ni hatari kwa ustawi wa jamii.

Viongozi wanaounda Baraza Kuu na Kamati Kuu, ni wale waliokosa uvumilivu ndani ya vyama vya siasa walivyokuwamo mwanzo, wengi wao wakiwa wametokea CCM baada ya matamanio yao ya kupata madaraka waliyoyataka kukosekana huko, akiwamo DK. Slaa mwenyewe.

Ni wazi siku si nyingi anguko la Chadema tutaliona miongoni mwa hao watapatikana kina Yuda Iskarioti waliokata tamaa, na hilo ndiyo litakuwa anguko la Chadema.[/QUOTE

Ndugu yangu,mimi niko wilaya fulani ni hivi majuzi CHADEMA makao makuu wametuma fungu la hela kulipia kodi ya pango, kwa hiyo siyo eti hela za ruzuku huzioni , kwani unataka uzione wapi? Pili hapo kwenye red huyo mtu Yuda Eskarioti hafanani na hao unaowazungumzia yeye wala hakukata tamaa bali alikuwa na nia awasanifu tu wale waliompa vipande vya fedha ili wakishindwa kwenye hiyo mission yao awacheke, alipoona wamefanikiwa kinyume na matarajio yake kwanza alitaka awarushishie hela zao walipokata basi alijuta sana na hatimae kujinyonga labda basi ndo kukata tamaa unakozungumzia .

Kiongozi wangu, kama Makao Makuu ya chama yana vyumba vitatu, uko ulipo wewe ndiyo utumiwe pesa ya ofisi.
 
Tanzania tanzania peopoplesss pawaaaaaaaaa,Chadema chadema peopl.................naimba tuu nitarejeeea
 
Pike Lee, kwa ni democrasia ni utovu wa nidhamu na kuhujumu chama? au na wewe ni masalia? nenda ukachukue ujira wako pale lumumba umemaliza kazi waliyokutuma

No way! nani ampe posho!?? hata alichokiandika hakijaeleweka, leo atalala njaa huyu
 
kuna kitu watu hamjaelewa hivi mtu anatumika na chama kingine kuleta migogoro katika chama chake huyo ni wa kuachwa? dawa yake ni kufukuza tu...ningekubaliana na ww mtoa mada kama waliofukuzwa wangekua wanatofautiana kimawazo na watu wengine the ndo wakafukuzwa hapo hata mimi ningewalaumu CDM ....kumbuka zinztumika nguvu nyingi usiku na mchana kuua vyama vya upinzani na hivi tunavyoongea vyama vyote vishakufa isipokua CDM ..CUF ipo lakin na chenyewe kimelainishwa kwa kupewa madaraka kule zanzibar...nguvu wanayotumia CCM ni kubwa sana ...na utakubalina na mimi mambo yote mazuri yanayofanyika sasa hivi serikalini ni sababu ya CDM ccm ilikua imelala sana....hivi ww huwezi jiuliza kwenye vikao vya ccm,polisi,usalama wa taifa,ikulu hata jeshi anaetajwa ni CDM watu hawawezi kufanya kitu wanawaza tukifanya hivi CDM watasemaje...kila kwenye mdomo wa mwana ccm hawezi kusema kitu bila kuitaja CDM kwani vyama vingine havipo...ni bora wafukuzwe mamluki wote chama kibaki na watu makini.............nawapongeza sana mbowe na slaa na viongozi wengine kwa kuweza kuhimili fitna za ccm na chama bado kipo imara bila chadema changamoto za chadema maendeleo hatutapata katika hii nchi na ccm ingeendelea kutudanganya mpaka basi ila kwa sasa macho meupee mwenye macho haambiwi tazama
 
chadema itakufa siku wakimfukuza Zitto! heche amejaribu kwa juliana ngoja tuone kama yupo mwenye uwezzo wa kumfukuza ZZK
 
Hakika umetumwa na Gambaz,nenda kachukue posho yako sasaivi.Cdm ni taasisi na si vinginevyo.Endelea kusubiri cdm ianguke wakati meli ya ukombozi iko zaidi ya spidi milioni moja kwa sekunde.Ulichoandika ni udaku mtupu.

Back
Top Bottom