Hakuna mpumbavu kama wewe unaekimbia ukomboz
Mbowe na Seif hawana cha kupoteza wameshapiga fedha zao saa hizi wanacheka cheka tu.
Nilikuwa sina hamu na chadema lakini nilikuwa nawaheshimu kama wapinzani, sasa nimewadharau sana kwa jinsi walijidharaulisha kwa kununuliwa na Lowasa, na anawatukana wazi wazi anawaambia anachukia masikini.
Khaa! Kawanunua viongozi wa chadomo kwa thamani ndogo sana.
Lowasa ajasema hilo neno ,alichosema anauchukia umasikini,kuna tofauti ya Masikini na Umasikini,Badilika ndugu acha porojooo..,,,
Utakuwa na umasikini kama hauna masikini?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ndio hichoo alichokisema Lowasa anauchukia umasikini,,umasikini usababishwa na nini? Kwanza elimu duni,miundo mbinu ,ajira ,rushwa..kwa baadhi ya viongozi wa nchi ,,wakijijali wao tuu na familia zao,,,Sasa kama wewe ,unaona ni tusi sawaa, ,
Anachukia masikini.
Ingekuwa elimu ndiyo inaleta utajiri, Bakhresa angekuwa masikini wa mwisho, hajamaliza hata darasa la nne. - Kumbuka hilo
Na ingekuwa elimu ndiyo inaleta utajiri, wewe umefika darasa la ngapi? mbona humpati Bakhresa? hata mfanya kazi wa ndani wa Bakhresa humpati kwa pesa. Pia angetajirika Nyerere aliyesoma toka enzi hizo, na wote mnasema kafa masikini.
Lowasa si angewatajirisha Watanzania alipokuwa na nyadhifa tofauti alipokuwa Serikalini, kawa mpaka waziri mkuu, alimtajirisha nani zaidi ya yeye mwenyewe tu?
Lowasa ana uchu wa madaraka na kawapata wa kuwanunua, sababu zako za umasikini ni muflis kabisa.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
.
Kumbuka hakuna mwanasiasi asiyekuwa na uchu wa madaraka.,ukiona mwanasiasa hataki madaraka ujue si mwanasiasa huyo ,acha ushabiki FaizaFoxy..,
Wewe utakuwa huitakii mema nchi yetu. Ccm iondoke kwanza madarakani