Anguko kubwa linakuja Oktoba

Anguko kubwa linakuja Oktoba

Wewe unanipeleka kwenye ukabila. Mimi niko hapa Chato nina hakika wilaya yote nii akipata kura elfu tano yatakuwa maajabu. Kwa taarifa yako Magufuli si msukuma ni mzinza & msubi, kisukuma anakijua tu. Sisi huku tuko field ninyi mkikaa nyuma ya keyboard mnaandika kinachokuja kichwani. Njoo huku ufanye savei gharama zote kwangu ndo utajua hali halisi.

and you think the "chato" you are in speaks it all, huh?!! poa bwana we amini unachoamini na maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom